Hatimae siri ya muda mrefu imevuja!

Hatimae siri ya muda mrefu imevuja!

PowerWithin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
645
Reaction score
501
Kama akili yako ni timamu huwezi kuelewa ni kwa nini tz ni nchi maskini wakati ina rasilimali za kutosha. Watakaojifanya kuelewa ni kujipa faraja tu lakini a very sensible human being will never understand. Tanzania is never good in anything but majungu in everything. Kwa jicho la kawaida huwezi kuelewa isipokuwa utaelewa tu endapo utatumia jicho la kiroho, ambayo kwa bahati mbaya sio wengi wenye hii karama, wako wachache sana!

Hapa siri ni hii hapa. TANGANYIKA ambayo maana yake ni bustani ya maraha; ilitelekezwa hivyo laana ya kuitelekeza taifa lenu lenye jina zuri na kila aina ya baraka ndio chanzo cha tanzania kuwa hivi ilivyo huku watz wenyewe tukionekana km misukule. Pindi taifa letu la Tanganyika litakaporudishwa ndipo hapo neema aliowahidini Mungu itawarejelea na kufungulia ufahamu wenu uliopotea. Mmelikana taifa lenu na taifa lenu halina budi kuwakana. Endeleeni kumuomba Mungu awape ufahamu kuhusu hili!
 
hujielewi kama ulicodai misukule, n msukule wewe cio wengine
 
Hahaaa. Tanganyika irudi bhana. tumechoka
 
Much to our aspirations towards Tanganyika mpya, hii ahadi ya sijui kurudishiwa baraka haina mashiko. Hakuna muujiza, ccm ni janga.
 
Mnataka Tanganyika ili iweje? Unataka upate nini?
 
alafu maishapesa nina kesi na wewe
back to the mada

Hata kama hatutafaidika na chochote si tuwaache wa zenji na yao mbona wenyewe hawatutaki

Back tanganyika bwana
 
Laana hiyo imwendee nyerere aliyeikana
 
!
!
rudi tanganyika.....na nadhani tunatakiwa pia kutambua mchango wa bwana Mtikila katika hili jambo.
 
Mkuu hawa majamaa washa shiba mipesa na majumba na mahikalu na mimali tena ya nguvu na ndio huwa mafundi wa matusi au kushiba mapesa sasa wana chiuwa matusi na hawa hawatatoka mpaka nguvu ya walala hoi itakapo simama kidete
 
Jina la Nchi yetu na mamlaka kamili havitarudi mpaka tumwage damu ya kutosha kufidia makafara aliyofanya Nyerere na walozi wenzake akina shekh yahaya katika kuizika Tanganyika yetu.
 
Kama akili yako ni timamu huwezi kuelewa ni kwa nini tz ni nchi maskini wakati ina rasilimali za kutosha. Watakaojifanya kuelewa ni kujipa faraja tu lakini a very sensible human being will never understand. Tanzania is never good in anything but majungu in everything. Kwa jicho la kawaida huwezi kuelewa isipokuwa utaelewa tu endapo utatumia jicho la kiroho, ambayo kwa bahati mbaya sio wengi wenye hii karama, wako wachache sana!

Hapa siri ni hii hapa. TANGANYIKA ambayo maana yake ni bustani ya maraha; ilitelekezwa hivyo laana ya kuitelekeza taifa lenu lenye jina zuri na kila aina ya baraka ndio chanzo cha tanzania kuwa hivi ilivyo huku watz wenyewe tukionekana km misukule. Pindi taifa letu la Tanganyika litakaporudishwa ndipo hapo neema aliowahidini Mungu itawarejelea na kufungulia ufahamu wenu uliopotea. Mmelikana taifa lenu na taifa lenu halina budi kuwakana. Endeleeni kumuomba Mungu awape ufahamu kuhusu hili!
"MBILI" au "TATU"??????
 
hujielewi kama ulicodai misukule, n msukule wewe cio wengine
Join Date : 24th April 2014
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
jitahidi tahidi utafahamu matumizi yake, jf sio ngumu sana kama fb. ila hakikisha hawakupunji buku 7 yako.
 
alafu maishapesa nina kesi na wewe
back to the mada

Hata kama hatutafaidika na chochote si tuwaache wa zenji na yao mbona wenyewe hawatutaki

Back tanganyika bwana

teh teh teh teh teh ........ hakimu nani my sweetie! siogopi maana najua teke la kuku halimuumizi mwanae najua hutaniumiza!
 
Kama akili yako ni timamu huwezi kuelewa ni kwa nini tz ni nchi maskini wakati ina rasilimali za kutosha. Watakaojifanya kuelewa ni kujipa faraja tu lakini a very sensible human being will never understand. Tanzania is never good in anything but majungu in everything. Kwa jicho la kawaida huwezi kuelewa isipokuwa utaelewa tu endapo utatumia jicho la kiroho, ambayo kwa bahati mbaya sio wengi wenye hii karama, wako wachache sana!

Hapa siri ni hii hapa. TANGANYIKA ambayo maana yake ni bustani ya maraha; ilitelekezwa hivyo laana ya kuitelekeza taifa lenu lenye jina zuri na kila aina ya baraka ndio chanzo cha tanzania kuwa hivi ilivyo huku watz wenyewe tukionekana km misukule. Pindi taifa letu la Tanganyika litakaporudishwa ndipo hapo neema aliowahidini Mungu itawarejelea na kufungulia ufahamu wenu uliopotea. Mmelikana taifa lenu na taifa lenu halina budi kuwakana. Endeleeni kumuomba Mungu awape ufahamu kuhusu hili!

Mkuu umeona mbali sana tukipata Watanganyika kadhaa kama wewe hakika mwakani mbali nchi yetu TUKUFU TANGANYIKA inarudi. Ahsante mkuu.
 
Back
Top Bottom