Hatimae Polepole awaangukia Maaskofu

huyu polepole bwana,eti majadiliano yanayoendelea hajui yametokea wapi? alisha anza kusingizia kakobe ni CDM

yani CCM bwana ukiwakosoa tu wanasema wewe ni CHADEMA-Wana mentality ya ajabu
 
Kutetea uovu ngumu sana. Ngumu sana kuwa mnyenyekevu kwenye kutetea uovu tena ambao hata mwenyewe hukubali. huyu jamaa anapatashida sana kutetea uovu!! Badala ya kutoa point anawashawishi wanaomsikiliza/mwona kwa kutumia sura kumwelewa lakini watu hawamuelewi. Wakati mwingine anaongea huku amefumba mikono kama yuko kanisani. Unaongeaje huku umfumba mikono!!!! Hata mapadre wanafumba mikono wakati wa kusali/kuomba tu, kwenye mahubiri hawawezi fumba mikono.

Ona anavyojikanyagakanyaga!! Eti mtu hawezi ungama kwa askofu analejimbambanua kwenye itikadi/chama fulani kama yeye ni chama tofauti. Anataka kutuambiwa watu wa itikadi tofauti na CCM wasiende kwa Mchungaji Lwakatare kwa sababu huyu sio anajipambanua tu ni mwanachama wa CCM.

Anataka kuwaambia watu wenye itikadi tofauti na CCM wasiende kuungama kwa Kardinali Pengo kwa sababu anajimbambanua kuwa yeye ni CCM???

Dhambi ya kuwasaliti watanzania itamtavuna maisha yake yote.
 
Mkuu msamehe bure ukiwa kwenye jezi za kijani hata ukiwa na akili kama Nikola_Tesla huwa zinarudi na kuwa kama za mtoto,hajui hata serikali inaongozwa na CCM lakini bado inahudimia wananchi wa vyama vyote
 
Alianza kuongea upuuzi wake huyu mjinga.
Pale mwanzo anataka kutuaminisha kwamba kiongozi wa dini akiongea kitu kuwakosoa ni kwamba yupo upinzani.
So kwa sababu PolePole ni CCM hayataka kuombewa na huyo kiongozi wa dini.

Ameongea ujinga wa kiwango cha juu.
 

huyu kijana kapata wapi hizi hekima ghafla hivi?
 
huyu polepole bwana,eti majadiliano yanayoendelea hajui yametokea wapi? alisha anza kusingizia kakobe ni CDM

yani CCM bwana ukiwakosoa tu wanasema wewe ni CCM-Wana mentality ya ajabu
Jinga kabisa huyu mpumbavu.
Ndiyo vitu wanavyojadiliana huko lumumba
Yaani hii nchi imekosa kiongozi kabisa,
Malimbukeni ndiyo yamejazana kwenye uongozi.

Kakobe kawaambia vyama vingi vipo kwa mujibu wa sheria kama hawataki waende pale bungeni wapitishe misawada yao waondoe huu mfumo wa vyama vingi tujue sasa tuko kwenye chama kimoja kwa mujibu wa sheria.

Wasilazimishe vitu kwa kuvunja sheria
 
Huyu ni mnafiki tu kama walivyo wanafiki wengine. Kauli kama ya Askofu Kakobe ingetolewa na sheikh saa hizi yuko mahabusu na mashtaka ya ugaidi yanatarishwa dhidi yake. Moja kati ya matatizo makubwa ya nchi hii ni ubaguzi wa kidini unaofanywa na serikali. Jinsi serikali inavyowashughulikia maaskofu wanaoonekana kwenda kinyume na serikali ni tofauti kabisa na wanavyoshughulikiwa masheikh. Hatuwezi kwenda popote kama taifa ikiwa huu unafiki utaendelea.
 
Bado waraka wa Katoliki utatoka very soon. Lazima Magufuli anyooshwe kwanza hadharani ili ajijue kuwa yeye sii Mungu wa miungu!
Hakuna kitu hapo. Nyaraka zilikuwa zinamlenga mtu maalum kwa malengo maalum.
 
kupokea ushauri mzuri na kuufanyia kazi ni jambo jema
 
Shetani utamjua tu kwa vionjo vyake!
 
Sirini ndiyo wapi huko,mambo ya sirini yanafanywa na madc na marc wanapowanunua wapinzani na wanapofanya mipango ya kuiba kura na maaskofu nao wafanye mambo sirini kama wezi?.
 
wameanza kuogopaa!
bado nguvu ya umma ss, tatizo wanajisahau sana kwamba hio nchi yetu sote.
 
Mvaa hirizi kiunoni hushaurika akiokoka au Kutubu, basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…