Hatimae Polepole ajibiwa na wana Arusha, kula chuma hichoo

Umati mkubwa uliojitokeza kwenye jogging waja na maandishi yasomeka hivi "mwambieni polepole mama Samia tunae sana

Fullstop, kwishaaa
 
Project hizo, wanapewa likaki wanatulia,,,, mijitu haijitambui
Mkuu project nyomi lote hilooo, hapo ukipeleka mambo ya chadema UNAWEZA dedishwa kabisa, maskini lisu akiona hii ataliaa kabisa anao wapigania washa ridhika na maisha

Fullstop,kwishaa
 
Siku ukipata mkwasi mrefu Tanzania ifanye kua mchepuko.

Hii nchi ina watu wenye kiwango kikubwa zaidi cha ujinga.

#Polepole #Lissu reforms ndo lugha ya waungwana!.
 
Mkuu project nyomi lote hilooo, hapo ukipeleka mambo ya chadema UNAWEZA dedishwa kabisa, maskini lisu akiona hii ataliaa kabisa anao wapigania washa ridhika na maisha

Fullstop,kwishaa
kumbe umejiunga juzi.....
 
Siku ukipata mkwasi mrefu Tanzania ifanye kua mchepuko.

Hii nchi ina watu wenye kiwango kikubwa zaidi cha ujinga.

#Polepole #Lissu reforms ndo lugha ya waungwana!.
Polepole ana andaliwakombora Moja tu anasaulika kabisa kwenye fikra za watz

Fullstop, kwishaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…