Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
mtakumbuka niliwah weka thread ya kutafuta mwenz wa maisha..ingawa ckusema but moyon niliahid ntakapompata ubavu wangu wa kweli bas nirudishe ripoti
kama ambavyo jf mlijua kuwa natafuta mwenz basi ni vyema pia mkajua kuwa nimepata
...but siyo wa humu jf
ahsanten
huyo mdada mbona namjua ni mpenzi wa mtu
mnhhhhhhh.....fitina hizo..lol
Shikamoo boss
mtakumbuka niliwah weka thread ya kutafuta mwenz wa maisha..ingawa ckusema but moyon niliahid ntakapompata ubavu wangu wa kweli bas nirudishe ripoti
kama ambavyo jf mlijua kuwa natafuta mwenz basi ni vyema pia mkajua kuwa nimepata
...but siyo wa humu jf
ahsanten
Marahaba,hujambo?
inaonekana una kitu wataka niambia..
Teh teh..Sijambo..
Inawezekana kweli si unajua ahadi ni deni..ila ntakuambia tu siku ukijisahau...
Haa haa chelewa chelewa? lol
Chelewa tena??Hapana sidhani.
Timing yangu ni kali....slow but sure
Tatizo la slow but sure ni you win many friends but you also win few enemies .lol
Sasa mbona unaongea viceversa..wewe ni bingwa wa reverse..Marafiki wengi si ndo wazuri??
Naruhusiwa kujibu kwa Pm?
hongera sana ila usinisahau ktka harusi yako kwani mm ni mama shughuli (MC), MPAMBAJI na Mtengenezaji wa kadi za harusi vilevile nina catering yangu baaabu kubwa mwana usiniweke mbali kwa mambo hayo
nakutakia maandalizi mema katika ukurasa mpya wa mapenzi
be blessed