..........ha ha ha mi sipo huko!!!!!!!!!!!!
Vipi mshaonjana....?
Wonders shall never end ooooooooo!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Vipi mshaonjana....?
Nice couple
Mshafunga ndoa? kama bado ni mapema sana kushangilia, ucje baadae ukaja na uzi mwingine....!
Vipi kona ya Bwiru wapo wa kumwaga nini, itabidi tupatembelee hapo!.kila la kheri,vp umempatia kona ya bwiru nn?
mtakumbuka niliwah weka thread ya kutafuta mwenz wa maisha..ingawa ckusema but moyon niliahid ntakapompata ubavu wangu wa kweli bas nirudishe ripoti
kama ambavyo jf mlijua kuwa natafuta mwenz basi ni vyema pia mkajua kuwa nimepata
...but siyo wa humu jf
ahsanten
nice bro ila unamueka hapa sii utaibiwa??
sisemi kitu.me&her
duh kaka umenifurahisha kwa hilo jibu....una jibu kama mzee M.SAID akitafuta mlango wa kutokea anapobwana maswali na kina yericko nyerere.nimetoa taarifa..cjashangilia
ha ha ha..kuna picha yegu na cyo contact zake
kaonja sana na sasa anakulavipi mshaonjana....?
kikelism wivu shall never end