Hatimae nimehamia kwangu

Hatimae nimehamia kwangu

Kabisa mkuu hongera
p_6828703544604522441930_0_5cf1495f5ea24808946a5fd45272228b.jpg
 
Hongera sana, sasa unataka wenzio wakale police?
 
Japo haikuwa rahisi kivile nashukuru mungu nimefanikiwa kuhamia kwangu
Kweli nimeamini ukiwafatilia sana walimwengu haujengi vitisho vingiiii hasa hawa mafundi wa mitandaoni kitu Cha laki atakwambia laki Saba
Mkuu tupiako basi kapicha tena selfie sisi kina Thomaso tujiridhishe na kukuamini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom