Hatimae na mimi nimekaribia janvini, nikaribisheni tafadhari.

Jeho

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
5,069
Reaction score
5,557
Kwa mara ya kwanza nimeamua kulog in kwenye forum hii baada ya kusikia utamu uliomo humu ndani. Naamini nitapokelewa kwa mikono miwili na wenyeji wangu humu ndani.
 
Karibu sana....hiyo bikira yako imenipa utata kidogo...ni ipi hasa
 
karibu,una miaka mingapi hujachakachua vibinti?lol
 
karibu,una miaka mingapi hujachakachua vibinti?lol

Miaka yangu haina umhimu wowote, lakini fahamu tu kwamba mimi ni bikira wa kiume ova.
 
Karibu sana na pita hadi ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…