Hatimae mzee kavuta 98m za kiinua mgongo

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,445
Reaction score
6,207
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana
 
Pesa ya baba yako wewe unataka ushauri wa kuifanyia kazi, tafuta zako acha mzee ale mafao yake ili aongeze umri wa kuishi, muache arudi katika ujana wake.
 
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana
Inaonekana umeshaingiliwa tamaa ya pesa ya mzee. Fanya kazi nawe siku moja account ije isome

Atulize kwanza mzuka. Vinginevyo watamuingiza kingi. Mbaya zaidi unazitangaza
 
Tafuta baa yenye mademu wazuri katumie nao hamna cha kupoteza hapo
 
Acha kumfanya baba yako aishi maisha magumu, wewe umekaliza kengele zako unasubiri urithi? Tafuta za kwako muache baba yako atumie pesa yake
Mimi ndio naenda kusimamia show yote tuliza kengele chini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom