BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,163
Nimeamini na mimi kuwa wanaume wameisha wamebaki watoto wa kiume
kabisa.....
Hawajui wajibu wao wanaongoza ndoa kwa ubabe.... Hawajui mke ni ua , penzi haliendeshwi kwa ubabe bali mahaba....tazama sasa wajanja washalamba asali yake... Hahahahaaaa
naomba namba ya mkeo nimpongeze kwa kukuzuga
Una kgs ngapi wewe kimwana?kabisa.....
Hawajui wajibu wao wanaongoza ndoa kwa ubabe.... Hawajui mke ni ua , penzi haliendeshwi kwa ubabe bali mahaba....tazama sasa wajanja washalamba asali yake... Hahahahaaaa
Mambo ya ndani hayo mnaleta JF? Hamkupita Jandoni? Angalao hata mjomba akufundishe jinsi ya kuendesha siri za ndani!! Pole
Mkuu, we umeoa?
Ukiona hutaki kujibu, potezea.
mtoto wa mamaBaaada ya kukata mawasiliano ya tendo la ndoa na mke wangu kumuadhibu kwa kukorofishana na mama yangu na yeye kuniambia nimtaftie mwanamume wa kumliwaza kwa hasira niliamua kuamua kula baa,kuchelewa kurudi na kuhama chumba HATIMAYE mke wangu kuniomba samahani kwa upole na unyonge na kuniambia kuwa hatorudia tena kuniambia maneno kama yale na ile hamu alokua nayo imeisha. MNAONA? HAWA WANAWAKE UKIWACHEKA NAO WANAKUPANDIA KICHWANI,
Nimeona nataka kujibu ndo maana nikajibu.
kha! Ndo kajibu hapo sasa kaka