acha u.p.u.m.bavu, alikwambia hawa wasaliti walitofautiana na mbowe nani? hii misaliti ya chama si wa mbowe. we must get ridoff.
maccm wanafiki sanaaaa watajitokeza wote mpaka m7
Pigana na ukuta basi km una hasira, wewe ni mbeba mkoba wa mbowe, utaifanya kazi hiyo mpaka uzeeke. Mkisikia uchaguzi m.a.v....i yanawagonga vyupi 24 hrsacha u.p.u.m.bavu, alikwambia hawa wasaliti walitofautiana na mbowe nani? hii misaliti ya chama si wa mbowe. we must get ridoff.
Kuzuia kifo na mazishi ya machadema ni sawa na kuzuia mafuriko kwa mikonoKikwet yye anakusilene kimya kimya ukitaka kgombea naye uraisi unafutwa kugmbeakupitiakura za maoni
Mimi natoa changamoto kwa wanaojifafanya kuitetea demokrasia katika vyama vya wenzao kama Mwigulu kumgeukia mwenyekiti wake na kumuuliza swali dogo," Mheshimiwa mwenyekiti, hivi ulishindana na nani vile katika uchaguzi wa uenyekiti wako?" akishajibiwa ninaamini atarudi hapa jamvini kutuletea majibu. Mh. Mwigulu hadhira inakusubiri
Fukuza fukuza fukkuza tu! Na waende, muasi yoyote aende tu ili chama kiende sawa hata kama ktk chama tutabaki wawili waadirifu tulitee taifa mpaka mwisho.
Body without head
Ni dhambi kubwa kwa chama makini kufuata mfumo wa chama CCM kilichojaa kila baya lililolaaniwa hata na vitabu vitukufu vya dini kama wizi, ujangili, ulanguzi wa madawa ya kulevya, uzinzi na ubakaji, ugaidi, mauaji n.k. Ratiba ya uchaguzi wa Chadema inaonyesha uchaguzi unafanyika kila baada ya miaka 5, mwisho ulifanyika 2009, so ni mwakani uchaguzi unafanyika na nafasi zote zitagombewa kwa ushindani, je ni kwa nini nafasi ya uenyekiti CCM haigombewi na inatawaliwa na udikteta?Kama sijakosea swali liliulizwa hivi, kwahiyo CHADEMA kinafata mfumo wa ma ccm. Hilo jibu nahisi hali husiani na swali hilo.
Kwa mtaji huu sa naanza kugudua taratibu kuwa CDM ni kopi & pesti ya CCM.... namanisha hakuna tofauti ya hivi vyama linapokuja swala la Demokrasia ya huru na kweri ndani ya chama. Pia ni dalili tosha cku CDM ikichukua dola itagandamiza vyama vya upinzani kwa gharama yoyote kutetea maslahi yake kama wanavyofanya CCM na si maslahi ya umma. Yangu macho na masikio............
M1 M2 na M3 NI NANI
ANAEJUA AWADADAVUE WOTE
najua kuna mkumbo, zito, na huyu wa arusha aliesimamishwa
ila uhalisia wao katika MM siujui
Kweli "kikulacho ki nguoni mwako"
Baada ya MM, MI, M2 na M3 kujulikana hatimaye "M" wengine waanza kujitokeza na kutoa matamko yanayo pingana na maamuzi ya chama na yaliyo ya wengi ambapo kwa mtu mwenye akili unaweza kujiuliza, je hawa wote walikuwa kundi moja nini? je huu sasa ni wakati wao wakutoa na kuonyesha makucha yao? Ama pengine huu ni muda mwafaka wa chama kuwafahamu wale wote wasio na mapenzi ya dhati kwa chama na wanaotumika kukivuruga chama?
Kwa kweli nabaki najiuliza maswali bila majibu, lakini nasema sitovunjika moyo, sitarudi nyuma na nitasonga mbele daima na kuamini katika mabadiliko ya kweli kwa mustakabali wa Taifa hili na vizazi vyake vijavyo.
Hao MM wote wanaofadhiliwa na magamba, wanatakiwa kujiuliza swali moja,"Mbona magamba wanaowatuma hawafanyi jitihada zozote za kuleta mabadiliko na demokrasia ya kweli katika nafasi ya umwenyekiti wao wa CCM ambayo imafanywa usultani na haishindaniwi?" yaani CCM wanaweza kuelimisha ulimwengu wa demokrasia kwa nini umwenyekiti wao unakuwa wa kidikteta? kwa nini tangia uhuru mwaka 1961 wamekuwepo wenyeviti wanne? CCM watoke sasa na kutueleza kwa nini nafasi ya uenyekiti inakuwa ni ya kidikteta?
Wewe ni maskini wa fikra.
Ngoja nisubiri!... Kumbe mwenyekiti wa CCM anawekwa kibabe!!!...Kweli hiki ni CHAMA CHA MASHEITWAN!Hao MM wote wanaofadhiliwa na magamba, wanatakiwa kujiuliza swali moja,"Mbona magamba wanaowatuma hawafanyi jitihada zozote za kuleta mabadiliko na demokrasia ya kweli katika nafasi ya umwenyekiti wao wa CCM ambayo imafanywa usultani na haishindaniwi?" yaani CCM wanaweza kuelimisha ulimwengu wa demokrasia kwa nini umwenyekiti wao unakuwa wa kidikteta? kwa nini tangia uhuru mwaka 1961 wamekuwepo wenyeviti wanne? CCM watoke sasa na kutueleza kwa nini nafasi ya uenyekiti inakuwa ni ya kidikteta?