Hatimae kilio cha wana wa sua chasikiwa

NAAMINI

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
672
233
vijana majina yametoka na kesho wanasaini boom....ni kelele za shangwe zilizsikika pale majina yalipokuwa yanabandikwa....sasa tumieni hizo fedha vizuri msije mkaanza kulalamika
 
Ahsante kwa taarifa mkuu
 
vijana majina yametoka na kesho wanasaini boom....ni kelele za shangwe zilizsikika pale majina yalipokuwa yanabandikwa....sasa tumieni hizo fedha vizuri msije mkaanza kulalamika

hongereni bado hawa majirani zenu wa MuM tu,
 
Back
Top Bottom