To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 19,154
- 34,288
Simamia hiloAseeeh hata nijapokawia nitamgoja kilicho rizki yangu,,,,
Simamia hiloAseeeh hata nijapokawia nitamgoja kilicho rizki yangu,,,,
Wachawi hamkosekanagi.Fasta akapime DNA 🧬
Mchawi kipimo tuWachawi hamkosekanagi.
Kisheria ya dini ya kiislam ilitakiwa afunge naye ndoa baada ya kujifunguaMsanii wa wa kidigitali wa muziki wa bongo fleva Juma Jux masaa machache yaliyopita ameshare kwenye account yake ya instagram picha katika matukio zinazoonyesha yuko hospitali inakosemekana ni nchini Canada akiwa na mke wake na mtoto wao ambae amejifungua siku ya jana
Mke wa Juma Jux Priscilla kutoka Niegeria amemjengea heshima Juma Jux kwa kumzalia mtoto wa kiume ambae wamempa jina la Rakeem Mkambala
View attachment 3452347