Hatimae Jux ni Baba Rekeem

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Msanii wa wa kidigitali wa muziki wa bongo fleva Juma Jux masaa machache yaliyopita ameshare kwenye account yake ya instagram picha katika matukio zinazoonyesha yuko hospitali inakosemekana ni nchini Canada akiwa na mke wake na mtoto wao ambae amejifungua siku ya jana

Mke wa Juma Jux Priscilla kutoka Niegeria amemjengea heshima Juma Jux kwa kumzalia mtoto wa kiume ambae wamempa jina la Rakeem Mkambala

Your browser is not able to display this video.
 
Fasta akapime DNA 🧬
 
Sawa Mkambala kazaliwa Canada...
 
Acha uongo jux Hana uwezo wa kuzalisha
 
Ukitaka kujua wanaume hawapendani.. wewe muongelee mwanaume mwenzao kwa jambo jema.
Wee utaona comment zao, sasa mtu kapata mtoto badala mumpongeze ndio kwanza mtu anaropoka eti jux hazalishi.

Kwa hiyo akiwa faragha na mkewe ulikuwepooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…