tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Msanii wa wa kidigitali wa muziki wa bongo fleva Juma Jux masaa machache yaliyopita ameshare kwenye account yake ya instagram picha katika matukio zinazoonyesha yuko hospitali inakosemekana ni nchini Canada akiwa na mke wake na mtoto wao ambae amejifungua siku ya jana
Mke wa Juma Jux Priscilla kutoka Niegeria amemjengea heshima Juma Jux kwa kumzalia mtoto wa kiume ambae wamempa jina la Rakeem Mkambala
Mke wa Juma Jux Priscilla kutoka Niegeria amemjengea heshima Juma Jux kwa kumzalia mtoto wa kiume ambae wamempa jina la Rakeem Mkambala