Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Ni aibu kwake biblia imesema alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe,

lakini pia mtume paulo kashauri ingekuwa bora kama ingewezekana kuishi bila koa au kuolewa Bali kumutumikia Mungu.

Sasa kama ndoa imesumbua kwa nini asingeamua kukaa peke yake na kumutumika Mungu?
Mkuu mihogo mitamu lkn
 
Mlitaka aishi bila dushe? Mwacheni banaa! Tatizo lake ni kiutangaza sana hiyo ndoa angepiga kimya kimya!
 
Ila mang'aa kajidhihirisha mwenyewe mwangani. Utaficha matabia yako weee lakini mwishoni yatakushinda utayaweka hadharani tu..
 
Ila mang'aa kajidhihirisha mwenyewe mwangani. Utaficha matabia yako weee lakini mwishoni yatakushinda utayaweka hadharani tu..
 
Naomba ufafanuzi kidogo..... Hivi huyu Dada si alifunga ndoa na Mbasha imekuaje anafunga na mwingine wakati yule hajafa? Au ukristo unatofautiana na ule wa hawa warumi?
 
Dah wacha tu..mambo ya wanawake mazito sana

Ningekuwa na pesa ningekuwa km ronaldo tu kuchafua vipapa vya vya warembo mjini then kuzaa nazaa na house girl au mhudumu wa hotel nampa milioni 5 aniachie mwanangu

No broken heart anymore maza faka
 
Back
Top Bottom