sungusungu JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 3,057 Reaction score 723 May 3, 2017 #481 Unafiki katika ubora wake
sungusungu JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 3,057 Reaction score 723 May 3, 2017 #482 Wachungaji wa aina hii ni hatari Sana kwa Taifa
Mtoto mtukutu JF-Expert Member Joined Jul 27, 2016 Posts 348 Reaction score 109 May 3, 2017 #483 Hv Flora baba yako mzee Moses clora angekuwepo ungemuaibisha hivyo
minji JF-Expert Member Joined Sep 2, 2016 Posts 2,750 Reaction score 4,967 May 3, 2017 #484 Babuu Rogger said: Haya maisha ni kula pombe nenda lala baaasi... Click to expand... [emoji23][emoji23]kbs
Babuu Rogger said: Haya maisha ni kula pombe nenda lala baaasi... Click to expand... [emoji23][emoji23]kbs
minji JF-Expert Member Joined Sep 2, 2016 Posts 2,750 Reaction score 4,967 May 3, 2017 #485 jamii01 said: Sherehe ni kama imechacha maana alitegemea watu waingie kwa kulipia...nani mwenye akili timamu anaweza kwenda kuangalia upuuzi kama huo alafu aishie kumywa soda.. Click to expand... Kumbe ilikuwa na kiingilio [emoji23][emoji23]jaman
jamii01 said: Sherehe ni kama imechacha maana alitegemea watu waingie kwa kulipia...nani mwenye akili timamu anaweza kwenda kuangalia upuuzi kama huo alafu aishie kumywa soda.. Click to expand... Kumbe ilikuwa na kiingilio [emoji23][emoji23]jaman
marcs JF-Expert Member Joined Nov 2, 2016 Posts 1,066 Reaction score 573 May 4, 2017 #486 Mtoto mtukutu said: Hv Flora baba yako mzee Moses clora angekuwepo ungemuaibisha hivyo Click to expand... Baba yake flora yupo cio mzee moses kulola
Mtoto mtukutu said: Hv Flora baba yako mzee Moses clora angekuwepo ungemuaibisha hivyo Click to expand... Baba yake flora yupo cio mzee moses kulola
dullynho JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 348 Reaction score 240 May 4, 2017 #487 Miss Natafuta said: kweli mwenzangu sijui kama nitavaa tena Click to expand... utalivaa tu kwani siku yako ya kufa unaijua,mpk uusilivae tena? tafta U-18 matata sana unavaa.
Miss Natafuta said: kweli mwenzangu sijui kama nitavaa tena Click to expand... utalivaa tu kwani siku yako ya kufa unaijua,mpk uusilivae tena? tafta U-18 matata sana unavaa.
LUCKY BANANA JF-Expert Member Joined Jun 28, 2016 Posts 461 Reaction score 226 May 5, 2017 #488 wakuu aomba kujua ndoa imefungwa kwa aina gani maana christian hawana ndoa mbili au nafikiaria kizamani?
wakuu aomba kujua ndoa imefungwa kwa aina gani maana christian hawana ndoa mbili au nafikiaria kizamani?
LUCKY BANANA JF-Expert Member Joined Jun 28, 2016 Posts 461 Reaction score 226 May 5, 2017 #489 marcs said: Baba yake flora yupo cio mzee moses kulola Click to expand... flora sio mjukuu kwa moses kulola?
marcs said: Baba yake flora yupo cio mzee moses kulola Click to expand... flora sio mjukuu kwa moses kulola?
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,731 May 5, 2017 #490 Otorong'ong'o said: Daaah!! Click to expand... cc jaq na mengi reginald