Na ww ni mlaji wa chipsi...kama ww ni jinsia ya kike sawa! Lkn km wewe siyo jinsia hiyo basi ww ni kavulana bila shaka utakuwa bado unakojoa kitandani...na kulilia sousage kwa mama yako!Acha kutukana watu na uwezo wako wa kumezeshwa huo
ha ha ha,mkuu sio roasted potatoes bana,Roasted potatoes
ha ha ha,mkuu sio roasted potatoes bana,Roasted potatoes
Hapo ndipo uwezo wako wa kufikiria ulipoishia. Huwezi tukana mtu kwa aina ya chakula kisa wewe hujakulia mazingira hayo. Alafu na wewe unataka uitwe mstaarabuNa ww ni mlaji wa chipsi...kama ww ni jinsia ya kike sawa! Lkn km wewe siyo jinsia hiyo basi ww ni kavulana bila shaka utakuwa bado unakojoa kitandani...na kulilia sousage kwa mama yako!
Naona jiwe la gizani limekupata kwani ni uongo?...binafsi nakuwa na wasiwasi kama hata kijiko unaweza kukinyanyua ili kula chakula! Maana chipsi haziliwi kwa kijiko....Hapo ndipo uwezo wako wa kufikiria ulipoishia. Huwezi tukana mtu kwa aina ya chakula kisa wewe hujakulia mazingira hayo. Alafu na wewe unataka uitwe mstaarabu
Una maanisha nyapu nazo zitafichwa!!!?Na wauza nyapu nao soon bei itapanda!....
Hahahaha! Salama mkuu! Umeninasa wapi?Ww mwiiraq hujambo?
Hahaha! Saw a baba..... Nimekuelewa mkuu!ha ha ha,mkuu sio roasted potatoes bana,
french fries.
Tofautisha kuroast na kufry,vitu viwili tofauti
Hahahahah nimecheka sana lolHivi lile dude walilosema lingeigonga dunia mwanzo wa mwezi huu liliishia wapi?
Maana mi nlishauza kila kitu nkajiandaa na mwisho wa dunia!
Ni heri lile dude(NIBIRU) lije tufe kuliko haya mateso ndani ya hii nchi!
duh! Umeniacha hoi kwa kicheko.Kuipata hiyo elfu 2 sasa!, asipotuma kwa m-pesa dada ambaye hausigeli kwa mwanaume wa dar, basi ndio mpaka msimu wa mavuno!
tumia fursa hiyo kwenda kulima viazi au na ww azisha biashara ya chips, sio unabaki kulalamika tu,