Jamani chips in chakula muhimu sana kwa wanafunzi wa chuo gharama yake ndogo na uniform kila mahali halafu haichukui muda kutengenezwa, kama imepanda hivyo itaathiri sana maisha ya vyuoni ambako madent hawezi kula michemsho yenu ya samaki yenye bei mbaya kama imeagizwa toka kwa Obama wakati samaki wamevuliwa ferry tu hapo.