Lilambalyakwilole
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 1,100
- 649
Baada ya bei ya nyama na sukari kupanda,hatimae chipsi kavu Nazo zapanda bei maeneo mbali mbali ya jiji la Dar kutoka Tsh.1500 tuliyoizoea mpaka Tsh. 2000 kwa sahani 1,kweli namba tutazisoma na kuzihesabu...
Nimecheka kwa sautiViazi navyo vimefichwa!
Hahahaah usichukulie kila kitu serious kijana.Unaishi wapi wewe mlugaluga?Kama ni ushamba basi umetia fora.
Kasema kabisa 'chipsi kavu' halafu ww unauliza nini?Yai au kavu
Dah sorry sikuiona mkuuKasema kabisa 'chipsi kavu' halafu ww unauliza nini?
Hahahaah.....!!! OkayRoasted potatoes
Yai au kavu
Tukihamia wote kwenye ugali, demand ya sembe itakuwa kubwa Na ukichukulia boss Ni yuleyule Mo!, ugali nao utakuwa anasa!Kuleni ugali, chips na sukari waacheni wale wenye uwezo, tumechoka na malalamiko yasiyo na kichwa wala miguu.
Kuipata hiyo elfu 2 sasa!, asipotuma kwa m-pesa dada ambaye hausigeli kwa mwanaume wa dar, basi ndio mpaka msimu wa mavuno!Vivulana vya dar vina matatizo kweli eti aka kavulana kanalia lia chips 2000, 2000 uku kwetu tunapata kilo 3 ya dona.
Mwanaume hapimwi kwa kile anachokula.Mwanaume halisi hali chipsi acha kunung'unika au wewe ni ke? Kama umezoea kuhonga chipsi pole...
Lishe bora kwa mwanaume humwezesha kutimiza majukumu yake ya kimaendeleo barabara....Mwanaume hapimwi kwa kile anachokula.