mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 551
- 618
Kwani wote huku wanaume...acha ukandamizaji wa kijinsia....Mwanaume halisi hali chipsi acha kunung'unika au wewe ni ke? Kama umezoea kuhonga chipsi pole...
Baada ya bei ya nyama na sukari kupanda,hatimae chipsi kavu Nazo zapanda bei maeneo mbali mbali ya jiji la Dar kutoka Tsh.1500 tuliyoizoea mpaka Tsh. 2000 kwa sahani 1,kweli namba tutazisoma na kuzihesabu...
Mwanaume halisi hali chipsi acha kunung'unika au wewe ni ke? Kama umezoea kuhonga chipsi pole...
Rudia kusoma uelewe andiko...Kwani wote huku wanaume...acha ukandamizaji wa kijinsia....
Unaishi wapi wewe mlugaluga?Kama ni ushamba basi umetia fora.Chipsi...??? Ndio nini????
Roasted potatoesChipsi...??? Ndio nini????