Chadema yadhihirisha ubaguzi wa
kikanda,Sasa
1.mwenyekiti (Mbowe)-Mkaskazini
2.Katibu mkuu (Slaa)-Mkaskazini
3.Naibu katibu mkuu(Mnyika)-Mk
askazini.
4.Mwenyekiti Bawacha (Mdee) -
Mkaskazini.
5.Mweka hazina-Mkaskazini
Duuuh,Mwanzo nilijua hoja ya
ukanda kwa chadema ni
propaganda kumbe ni FACT.
Wale wa kukanusha naombeni
mtueleze sifa ya ziada walizonazo
watanzania wanaotoka kaskazini
kuliko wanachadema wa kutoka
mikoa mingine.
La sivyo mnataka tuamini kuwa
chadema wenye akili ni watu wa
kaskazini.
Chadema yadhihirisha ubaguzi wa
kikanda,Sasa
1.mwenyekiti (Mbowe)-Mkaskazini
2.Katibu mkuu (Slaa)-Mkaskazini
3.Naibu katibu mkuu(Mnyika)-Mk
askazini.
4.Mwenyekiti Bawacha (Mdee) -
Mkaskazini.
5.Mweka hazina-Mkaskazini
Duuuh,Mwanzo nilijua hoja ya
ukanda kwa chadema ni
propaganda kumbe ni FACT.
Wale wa kukanusha naombeni
mtueleze sifa ya ziada walizonazo
watanzania wanaotoka kaskazini
kuliko wanachadema wa kutoka
mikoa mingine.
La sivyo mnataka tuamini kuwa
chadema wenye akili ni watu wa
kaskazini.
Nilikuwa naipenda sana Chadema. Sasa sijui nijiunge na chama gani....!!!!
Pengine tuanzishe chama mkuu make hivi vyama vyetu pasua kichwa tu.Nilikuwa naipenda sana Chadema. Sasa sijui nijiunge na chama gani....!!!!
JK
Kinana
Nape
Shein
Sophia Simba
Asha-Rose
Abdalah Bulembo
Zakhia Meghi
Seif Ally Idd
Nchemba
heko CCM kwa kuwa na mchanganyiko wa sura tofauti
Chadema yadhihirisha ubaguzi wa kikanda,Sasa
1. Mwenyekiti (Mbowe)-Mkaskazini
2. Katibu mkuu (Slaa)-Mkaskazini
3. Naibu katibu mkuu(Mnyika)-Mk askazini.
4. Mwenyekiti Bawacha (Mdee) -Mkaskazini.
5. Mweka hazina-Mkaskazini
Duuuh,Mwanzo nilijua hoja ya ukanda kwa CHADEMA ni propaganda kumbe ni FACT.
Wale wa kukanusha naombeni mtueleze sifa ya ziada walizonazo watanzania wanaotoka Kaskazini kuliko wanachadema wa kutoka mikoa mingine,la sivyo mnataka tuamini kuwa CHADEMA wenye akili ni watu wa
Kaskazini.

Pengine tuanzishe chama mkuu make hivi vyama vyetu pasua kichwa tu.