GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,700
- 14,641
Maskini na wajinga ni rahisi sana kuwajua. Wanaweza gombana kwa vitu vidogo sana vya kipuuzi.unapoona mtu anaandika jinsia ya gari au kudhihaki wengine ujue tu ni tatizo lile lile la ushamba,upuuzi,ukosefu na kutafuta identity. Kisaikolojia mtu ambaye huwa ana feel inferior hutafuta kitu cha kumpa thaman. Sababu yeye kama yeye hana thaman hivyo atapambana apate kitu cha kumwongezea thaman. So ni tatizo la kisaikolojia,malezi na elimu.
Binafsi huwa nina sababu ya kuwa na kila gari ninayokuwa nayo.
Binafsi huwa nina sababu ya kuwa na kila gari ninayokuwa nayo.