Kwenda zakoPamoja na Ndugai kupewa makavu na hasimu zake,kiukweli jana ule ufafanuzi alioutoa ulikua makini sana ,ngoja nione mwisho wa sakata hili,japo wanasiasa wamepata mtaji
Kwa sasa hauwezi kujadiliwa?Kwani Assad akiwekwa pembeni wizi hauwezi kujadiliwa?
Ndy hvyo ashawapa ripotiKazi ya CAG ni kusema ukweli nje ya nchi au kukagua na kutuletea ripoti yenye mapendekezo?
Kifungu gani cha Katiba kinachomkataza CAG kuongea nje ya Nchi kuhusu kazi yake?Kazi ya CAG ni kusema ukweli nje ya nchi au kukagua na kutuletea ripoti yenye mapendekezo?
Soma hii comment we jingalaoNdugai Mungu anakuona kwa jinsi unavyogeuza maneno ambayo cag aliyasema! Hakuna mahali cag alisema bunge ni dhaifu bali alisema ni udhaifu wa bunge kutokuchukua hatua za kuishauri serikali!
Nakushauri usome maandiko hasa Zaburi inayotamka kuwa hakuna mwanadamu mkamilifu kwani ni wadhaifu mbele za Mungu! Kwanini hutaki kuambiwa wala kusikia neno dhaifu?
Jiuzulu tu kama kweli wewe siyo dhaifu!
Nilijua lazima utupe kipisi cha kaya uliokua unabeha ili uwahi kujibu
Kwanini mnapenda sana wizi nyie lakini?Kazi ya CAG ni kusema ukweli nje ya nchi au kukagua na kutuletea ripoti yenye mapendekezo?
Kalimalizaje...mwambie amfukuze kazi sasa...kama yeye kidume mbona hadi leo hajamfukuza kazi anasubiri niniKiongozi japo hutaki ila jana kalimaliza,hii nguvu mnayotumia kumkingia kifua ngoja tuone
Kazi ya CAG ni kusema ukweli nje ya nchi au kukagua na kutuletea ripoti yenye mapendekezo?
Ngoja ,muda si mrefu sakata litahitimishwa rasmi na bingwa kufahamika,hii sakata na ile ya Makonda awajibishwe kwa kuwavuruga nyie wauza ngada iliishaje?,till nao Makonda is RC of dar.Ni hivi, bunge ni dhaifu, na yote hayo yamesababishwa na spika kujipendekeza kwa jiwe. CAG ana support ya umma na hawa wote wanaomgasi CAG akiwemo Spika na jiwe nyuma ya pazia ni wezi wa hela za umma fullstop.
Hivyo ndivyo ilivyo,zimepigwa hasa.Wanatutoa kwa reli,tuongelee udhaifu/uimara wa Bunge letu tukufu.Ndugai anaogopa nini au kuna hela imeliwa?
Kwahiyo kuwaacha mkaibe ni heshimuJiuzulu tuu mkuu kulinda heshima yako