nilidhani hati imetolewa kumbe unalalamika mkuu
Watanzania tumekua kama mbweha. Huyu mwingulu ameuuwa vya kotosha na bado tunaendelea kumzungumza.Tuzaidiane kumtafutia ambacho hatasahau milele!!mwigulu ni janga la kitaifa
kichwa cha habari misleading kweli aise.
.......... Bora umeelewa...........
mmh...huyu naye! si useme kitu sasa.
""Urukapo hakikisha umeagana na nyonga"", IGP Mwema akitangaza kuwa Mwigulu ni hatari kwa taifa huo u-IGP atakuwa hana, anaogopa kuwa kama Amran Kombe.