Hiyo kazi ni kama imekaa ki secretary zaidi kuliko mambo ya IT.
Unaweza kuomba kama unahitaji kazi, inawezekana wanatumia job description za usecretary za zamani.
Wakikuuliza sana kuhusu hiyo, waambie siku hizi kila smartphone ina app ya kurekodi sauti, hivyo kuandika shorthand ni kitu kilichopitwa na wakati.
Itakuwa unawasaidia kuboresha mifumo ya jinsi wanavyofanya kazi, kutoka kizama