Hatariiiiiiiiiiiiiiii

Habari wanajf...

Natatizwa na hili swala jaman nisaidieni
Hv kuna madhara yoyote kuendelea kuwasiliana na x-boy /x-girl wako,wakati unadate na mtu mwingine??

Nahitaji msaada wakuu

Kuna hatari ya kukumbushie enzi kama mliachana vizuri. By the way, kama unadate na mtu mwingine, mawasiliano ya karibu na X wako ni ya nini tena? Si ndo mwanzo wa usaliti huu?
 
kwani kama huwezi c ufunge domo lako?

Atafungaje domo wakati hakuongea! Bazazi ameandika tu.Alafu wewe Mchina,bila shaka umeona kuna tatizo hapo ndio maana ukaja kuomba ushauri,acha upuuzi huo.
 
Last edited by a moderator:
Shiiiiiii, kimya kimya. Tunafunga mwaka kwa kupost.

Bandugu MESTOD!
Hata uzi usio na mashiko?
Kama unawasiliana naye mara nyingi:
Maanaye ni kuwa bado mnaoneana wivu.​
Hii ndio sababu nikamwambia aache kuuliza maswali yasio na maswali; ni mchafugoke.


Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
inategemea mnawasiliana nini?
kwa frequency gani?
kwa njia gani?
malengo ya kuwasiliana ni yapi ?
je hayo malengo yanatofautiana au yanafanana?

ila mwisho wa siku ukaribu haukubaliki.

Exactly TRUE
 
Atafungaje domo wakati
hakuongea! Bazazi ameandika tu.Alafu wewe
Mchina,bila shaka umeona kuna tatizo hapo ndio maana ukaja kuomba
ushauri,acha upuuzi huo.

mpuuzi mwenyewe...nyambafu we
ucniletee udume wako hapa,hukohuko kwa mkeo
 
Last edited by a moderator:
mpuuzi mwenyewe...nyambafu we
ucniletee udume wako hapa,hukohuko kwa mkeo

Acha jazba binti,sijakwambia wewe ni mpuuzi, nilichosema tabia hiyo ni ya kipuuzi,na kweli ni upuuzi.Hata kama jamaa aliondoka na bikira yako kata mawasiliano naye unless kama wewe ni malaya tu.
 
pengine 2013 mtakuwa ili watu tuongee ya maana.
 
Aina gani ya mawasiliano. Nakuonea huruma kwani huyo unaye-date naye anaweza kukuacha.
Habari wanajf...

Natatizwa na hili swala jaman nisaidieni
Hv kuna madhara yoyote kuendelea kuwasiliana na x-boy /x-girl wako,wakati unadate na mtu mwingine??

Nahitaji msaada wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…