zhi you nhi
Member
- Dec 16, 2012
- 60
- 18
Nani kasema?
Je hilo nalo ni tatizo la kuja MMU kuuliza?
Bazazi!
kumbeeeeeeeeeeeee!Utaanza kukumbuka mazuri yake, taratibu unakumbuka na utamu wake mwisho utampa!!!
how do you see is it tatizo au sio?
kumbeeeeeeeeeeeee!
I love u honey!!!!!
Kwani wewe huyo unaemdate akiwasiliana na ex wake utajali? Kama hautojali naye akiwasiliana na ex endelea tu.
Nani kasema?
Je hilo nalo ni tatizo la kuja MMU kuuliza?
Bazazi!
inategemea mnawasiliana nini?
kwa frequency gani?
kwa njia gani?
malengo ya kuwasiliana ni yapi ?
je hayo malengo yanatofautiana au yanafanana?
ila mwisho wa siku ukaribu haukubaliki.
Pepo hilo acha kabisa.
Nani kasema?
Je hilo nalo ni tatizo la kuja MMU kuuliza?
Bazazi!
Kwani wewe huyo unaemdate
akiwasiliana na ex wake utajali? Kama hautojali naye akiwasiliana na ex
endelea tu.
inategemea mnawasiliana nini?
Kwa frequency gani?
Kwa njia gani?
Malengo ya kuwasiliana ni yapi ?
Je hayo malengo yanatofautiana au yanafanana?
Ila mwisho wa siku ukaribu haukubaliki.
Si vyema kuendeleza
mawasiliano ili kumlinda ulienae, maana hakuna kitu kinachoumiza kama
ukijua boy/girl wako anawasiliana na x wake.