Kwani singo mom ni kifaru au ni Nini? Ni shimo la taka? Akiwa singo mother anakuwa na mkosi au wewe bikra umekutana nazo ngapi? Kwani ukio ambaye hajazaa baada ya mwaka akazaa na yule singo mom Kuna tofauti gani.? Hanaway labda wewe Ni mvulana. Lakini kwa true family man Hilo sio tatizo kabisa. Kwani unadate/unaoa wanae.?Sasa mwanaume kamili unaoaje singo mama
NB:umeshindwa kuoa bikra yaan umeshindwa hata kupata ambaye hajazaa
Singo mama ni zaid ya hiyo taka ,hiv unawezaje kuzaa kabla hujaolewa(acha wajane na walioachika reasonably) kama sio kiranga ni nin?Kwani singo mom ni kifaru au ni Nini? Ni shimo la taka? Akiwa singo mother anakuwa na mkosi au wewe bikra umekutana nazo ngapi? Kwani ukio ambaye hajazaa baada ya mwaka akazaa na yule singo mom Kuna tofauti gani.? Hanaway labda wewe Ni mvulana. Lakini kwa true family man Hilo sio tatizo kabisa. Kwani unadate/unaoa wanae.?
Yes unaweza kwa kufikiria kwako,lakin sio lazima iwe ni uhalisiaMimi naweza kuwa baba yako kijana
Waache kulea viben ten maana vinawaliza wengi sikatai ni jasho lako lakini kuanza kumlea mtoto wa mwanamke mwenzio wakati nawe unawako umezaa bora uwekeze kwa mwanao apate elimu bora kuliko kulea kiben ten.Habarini wadau,
Kwanza si kama nawadharau single mumy but natoa tu rai yangu kwa vijana especially vi Ben ten kwamba kutoka kimapenzi na mwanamke aliyezalishwa alafu akaachwa ni sawa na kucheza game ambayo mwenzio kaicheza mwishowe kaamua kuisevu kwenye simu yake then baadae unakuja wewe na kujitutumua kuanza kuicheza, tambua tu mwenye mchezo wake akija tu lazima utampisha tu.
Be careful vijana nawasilisha tu sijamtusi m2.
Kazi ipoHabarini wadau,

Ulikua umefarikiuzi umefufuka tena.......!