MWANA ileje
JF-Expert Member
- Oct 22, 2016
- 744
- 572
- Thread starter
-
- #41
Mbona umepanic sana au wewe ni miongoni mwao mimi nimetoa rai yangu tu kwamba dating single mothers is ni sawa nakucheza game ambayo mwenzio kaisevu full stop,sasa povu la nini......kama ulishafanya mistake ni wewe so ustake na wengine wahadaike kutoujua ukweli.Aisee imenibidi nijizuie sana kutoa povu langu la fire extinguisher.
Kila mwanamke/mwanaume ni potential single mother/father respectively. Kuna sababu nyingi sana zinachangia mtu kuwa single mother/father.
Jiheshimu mkuu! Kuwa na anonymous ID hapa JF isichochee kuanzisha threads za kipuuzi kama hizi. Mwanaume wa kweli anakufa na yaliyomo moyoni mwake.
ONYO: Kubalehe chini ya umri ni hatari kwa akili yako!
Watu wa Mbeya bana....Mbona umepanic sana au wewe ni miongoni mwao mimi nimetoa rai yangu tu kwamba dating single mothers is ni sawa nakucheza game ambayo mwenzio kaisevu full stop,sasa povu la nini......kama ulishafanya mistake ni wewe so ustake na wengine wahadaike kutoujua ukweli.
Usinishambulie mimi mshambulie aliekuzalisha nakukuacha mi nawaonya tu vijana kwamba some of single mothers ni mizgo ya vyupaAisee imenibidi nijizuie sana kutoa povu langu la fire extinguisher.
Kila mwanamke/mwanaume ni potential single mother/father respectively. Kuna sababu nyingi sana zinachangia mtu kuwa single mother/father.
Jiheshimu mkuu! Kuwa na anonymous ID hapa JF isichochee kuanzisha threads za kipuuzi kama hizi. Mwanaume wa kweli anakufa na yaliyomo moyoni mwake.
ONYO: Kubalehe chini ya umri ni hatari kwa akili yako!
Kaitishe mkutano na hao vijana wako uwape huo ushauri wako vizuri. Na vinywaji uwanunulie kama kweli unataka kuwaelimisha.Usinishambulie mimi mshambulie aliekuzalisha nakukuacha mi nawaonya tu vijana kwamba some of single mothers ni mizgo ya vyupa
Habarini wadau kwanza c kama nawadharau single mumy But natoa tu rai yangu kwa vijana especially vi Ben ten kwamba kutoka kimapenzi na mwanamke aliezalishwa alafu akaachwa ni sawa nakucheza game ambayo mwenzio kaichezaaaa mwishowe kaamua kuisevu kwny simu yake then baadae unakuja wewe nakujitutumua kuanza kuicheza,.......tambua tu mwenye mchezowake akija tu lazima utampisha tu.....be careful vijana nawasilisha tu cjamtusi mtu
Sijui tuanze kukagua vyeti JF, naona km shudu zimezidi na zinazidi sn hasa hii generation ya bombadier.
Mtu anaitwa na umesema single mom, bado unasema mwenyewe akija sijui utampisha. Mfano wako wa game sijui ku save na mwingine kuichezea pia ni mfu.
Unatoa rai I expected utoe experence yako au sort of a story/scenario au kisa flan sasa kweli kabisa umekaa, ukafikiri na kuja jf kuanzisha uzi huu ??
KoromijeMkuu hili Shudu umelitoa wapi
Ndo maana limekaa kibashitebashiteKoromije
Bilateral shaka na wewe nimhanga pole sana but ukweli ni mchungu jf ni darasa huru wacha vjana wapate material nyeti toka koromije kwamba single mothers nikukaanao kwa tahadhariSijui tuanze kukagua vyeti JF, naona km shudu zimezidi na zinazidi sn hasa hii generation ya bombadier.
Mtu anaitwa na umesema single mom, bado unasema mwenyewe akija sijui utampisha. Mfano wako wa game sijui ku save na mwingine kuichezea pia ni mfu.
Unatoa rai I expected utoe experence yako au sort of a story/scenario au kisa flan sasa kweli kabisa umekaa, ukafikiri na kuja jf kuanzisha uzi huu ??
SINGLE MOMZ MOST OF THEM:
1/ They are financial dead-ends
2/ Their bodies are inferior to women who are not
Mothers
3/ They are separeted or divorced from their baby
Dady for a reason and usually its very bad.
Kipi hicho?I love single mamaz but kuna kitu moja wanajisahau na kujikuta wanaudhi ila siwezi walaumu sana.
Kwangu huwa napenda mno