Umetoa maoendekezo mazuri ila nakuapia hakuna kiongoz wa serikali au wabunge wa ccm wanaweza kuwaza kitu kama hicho!?? Wao hupenda hali duni za vijana ili wawe mtaji wa siasa wakati wa chaguzi!!!Kwenye swala la MACHINGA serikali inahitaji umakini mkubwa kuwatoa Hawa watu kwakuwa wamekuwa wakubwa Kama mbuyu.
Kama mnakumbuka miaka ya 2000-2015 walikuwa wanafurushwa Sana na migambo. Kuanzia mwaka 2016 mpaka sasa wamejitawala kila mahali.
Ukifika hapa Arusha Ni kero kubwa Sana. Nafikiri huu usumbufu unaweza kupunguza hata watalii.
Nashauri yafuatayo
1. Mpango wa miaka 15 uundwe ili kupunguza MACHINGA mtaani. Hii ni pamoja na kuinua sekta ya kilimo na ufugaji ili kizazi kijacho kisiangukie chote kwenye Umachinga
2. Kubadili mtaala wa elimu ili kuongeza ubunifu miongoni mwa vinana wetu
3. Serikali kutafta soko zuri kwa bidhaa za kilimo na mifugo.Pia kupunguza kodi kwa zana za kilimo na mifugo.
NB. Mbolea imepanda Bei lakni mazao ya nafaka yameshuka Bei maradufu
4. Kuapnga upya Ni kuleta vurugu . Na nawambia hili Ni gumu Sana na pengne halitawezekana kabisa. Ni bora mkatumia nguvu kubwa kuliko kusema mnapanga mpya . Hawa taenda kwasababu maeneo hayo hayana wateja na biashara Ni wateja.
NB. Tusipokuwa makini na sutala la MACHINGA tutasababisha vurugu,chuki hata rushwa kwa wale wanaopanga upya
umeongeaa!Umetoa maoendekezo mazuri ila nakuapia hakuna kiongoz wa serikali au wabunge wa ccm wanaweza kuwaza kitu kama hicho!?? Wao hupenda hali duni za vijana ili wawe mtaji wa siasa wakati wa chaguzi!!!
Machinga AirlinesKwenye swala la MACHINGA serikali inahitaji umakini mkubwa kuwatoa Hawa watu kwakuwa wamekuwa wakubwa Kama mbuyu.
Kama mnakumbuka miaka ya 2000-2015 walikuwa wanafurushwa Sana na migambo. Kuanzia mwaka 2016 mpaka sasa wamejitawala kila mahali.
Ukifika hapa Arusha Ni kero kubwa Sana. Nafikiri huu usumbufu unaweza kupunguza hata watalii.
Nashauri yafuatayo
1. Mpango wa miaka 15 uundwe ili kupunguza MACHINGA mtaani. Hii ni pamoja na kuinua sekta ya kilimo na ufugaji ili kizazi kijacho kisiangukie chote kwenye Umachinga
2. Kubadili mtaala wa elimu ili kuongeza ubunifu miongoni mwa vinana wetu
3. Serikali kutafta soko zuri kwa bidhaa za kilimo na mifugo.Pia kupunguza kodi kwa zana za kilimo na mifugo.
NB. Mbolea imepanda Bei lakni mazao ya nafaka yameshuka Bei maradufu
4. Kuapnga upya Ni kuleta vurugu . Na nawambia hili Ni gumu Sana na pengne halitawezekana kabisa. Ni bora mkatumia nguvu kubwa kuliko kusema mnapanga mpya . Hawa taenda kwasababu maeneo hayo hayana wateja na biashara Ni wateja.
NB. Tusipokuwa makini na sutala la MACHINGA tutasababisha vurugu,chuki hata rushwa kwa wale wanaopanga upya
Nyie watoto wa 95 kuja juu mna makuzi sana...unafikili tatizo la machinga dar(Tanzania) limeanzia awamu ya 2015-2020??Magufuli angejua ttz alilotuachia dahh
Yeye ndio aliloli-rubberstamp....., yaani ni kama sheria ilikuwa inatungwa yeye akaja akai-sign na kuifanya ianze kutumika rasmiNyie watoto wa 95 kuja juu mna makuzi sana...unafikili tatizo la machinga dar(Tanzania) limeanzia awamu ya 2015-2020??
Hata kama wapo naamini wana mahali maalum pa kufanyia uchuuziJe kuna nchi isiyokuwa na wachuuzi?
Hapana,wewe ndio huna hujualo na hawa viongozi wanaotumia nguvu kuwahamisha machinga watafanikiwa kuhamisha mama ntilie na mama wauza mboga ila sio machinga.Yeye ndio aliloli-rubberstamp....., yaani ni kama sheria ilikuwa inatungwa yeye akaja akai-sign na kuifanya ianze kutumika rasmi
Alikwambia hayo ? Kilichotokea Magu aliwaambia wafanye biashara popote na watu walipotaka kuwahamisha yeye alisema wasiondoke, dunia haiendi hivyo inabidi kuwe na utaratibu na sheria.., ndio maana nikasema hili bomu limekuwa likiendelea pole pole kipindi cha Magufuli (sio kwa kutokujua bali kwa kupiga siasa) akatumia shortcut badala ya kuanza / kujaribu kutatua tatizo akaliacha liendelee na kulifanya rasmi; kwamba kwa kuwaachia waendelee kuvunja sheria kwa kufanya kazi sehemu hatarishi ndio anawateteaHapana,wewe ndio huna hujualo na hawa viongozi wanaotumia nguvu kuwahamisha machinga watafanikiwa kuhamisha mama ntilie na mama wauza mboga ila sio machinga.
Kwa kifupi tu machinga ni zao la sera mbovu za uingizaji wa bidhaa horela katika nchi yetu,ukosefu wa ajira kwa vijana hasa kutokuwepo kwa viwanda vya kutosha ambavyo vingetoa ajira kwa vijana mjini na vijijini,kutokuwepo na kilimo na soko la uhakika la mazao ya kilimo haya yote yanapelekea vijana wengi kukimbilia mjini kuja kuwa wachuuzi wa bidhaa ndogo ndogo kutoka nje ya nchi.
Kwa hiyo Magu aliamini kwa kuwa alijiwekeza kwenye kuanzisha miradi mikubwa mikubwa ya kimkakati ambayo kwa baadae ingeweza kutoa ajira za moja kwa moja na zisizo za moja kwamoja kwa vijana wenye ujuzi na wasio na ujuzi hivyo tatizo la machinga lingepungua kama sio kupungua kabisa.
We naeeNyie watoto wa 95 kuja juu mna makuzi sana...unafikili tatizo la machinga dar(Tanzania) limeanzia awamu ya 2015-2020??
Wanunuzi hufuata wapi bidhaa zipo. Watu wanawafuata wamachinga kwa sababu wapo hapo. Mrundikano wa machinga karibu na maduka ni uthibitisho kuwa wanauza bidhaa za hao wenye maduka. Wakienda eneo na wasifuatwe elewa bidhaa zao zinapatikana maduka walipo kuwa, na watafute kazi ingine ya kufanya. Nguvu kazi hiyo ielekezwe kwenye uzalishaji na nchi itasonga mbele.Kwenye swala la MACHINGA serikali inahitaji umakini mkubwa kuwatoa Hawa watu kwakuwa wamekuwa wakubwa Kama mbuyu.