Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,388
Hapo ndio majanga kabisaa!!!Ohoooo !!! Vipi kuhusu hela zenyewe ?
Wabongo siku zote ni "reactive" na si "proactive" karibu kwenye kila kitu mpaka kwenye maisha yao/afya zao.Umeongea pointi mkuu hili jambo watu watalibedha lakini ukweli ndio uo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuhusu pesa vipi? Hasa unaponunua/lipa nauli na kurudishiwa chenchi?!!!! Hasa kwenye daladala, kondakita ana jasho balaa anakurudishia coins?!!!Suluhu ni mabenki kuweka pembeni mwa ATM dawa za kunawa mikono.
Au kila raia kutembea na sanitizer mfukoni. Kabla na baada ya kugusa ATM unajipaka mikononi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado pia wapanda boda boda,Ohoooo !!! Vipi kuhusu hela zenyewe ?
Autometed Teller Machine(ATM) ni moja ya kifaa kinachoweza kuchangia sana kusambaa kwa ugonjwa huu wa Corona ila bahati mbaya sana mpaka sasa sijasikia ni hatua gani zinachukuliwa na mabenki pamoja na serikali katika kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa huu kupitia mashine hizi za ATM(inawezekana eneo hili limesahaulika).
Kwa kifupi,ATM ni kama zinapuuzwa/zimesahaulika wakati zinaweza kuwa na mchango mkubwa sana katika kusambaza gonjwa hili.
Kwa mfano,mtu katoka zake nje ya nchi na katua airport na ili aweze kufanya mizunguko yake kabla ya kufika anakokwenda(iwe ni nyumbani,n.k) anaweza kuhitaji fedha na hivyo atalazimika kutumia mashine hizi na kama ana virusi hivyo, basi ni wazi mashine hizi zitabaki na baadhi ya vijidudu ambavyo vinaweza pia kumuingia mtu(mteja) mwingine.
Mbali na hilo,tarehe za mishahara kwa wafanyakazi wa serikali ndio zinakaribia(tarehe 23/24 ya mwezi) hivyo hatari ya maambukizi kupitia mashine hizi inazidi kuongezeka unless ugonjwa huu unadhibitiwa angali mapema.
Hivyo,Benki Kuu itoea maelekezo kwa mabenki yote kuweka dawa za chlorine kila mahali ambapo mabenki yamefunga mashine hizi na askari wanaolinda mashine hizi watumike kunawisha watu kabla ya kutumia(ku-access) hizi mashine za kutolea fedha.
Ukweli ni kwamba,kutokana na umasikini wetu,maandalizi duni,teknolojia duni tulionayo pamoja na ukubwa wa nchi yetu,kitu pekee kinachoweza kutusaidia/kutuokoa ni kujikinga tu hivyo tuchukue kila tahadhari angali mapema.
Wenzetu walizembe wakiamini huu ugonjwa sio issue kubwa na kwamba ungepita tu, ila leo katika baadhi ya nchi wamefikia hatua ya kuzuia raia wao kuingia mitaani kwa kutumia askari ili kukabiliana na huu ugonjwa.
Mwenzako akinyolewa,wewe tia maji.
Mzahamzaha,hutumbua usaa.
Una hakika gani kila atakaetumia ATM atakuwa amenawa mikono?Si ndo maana unaambiwa unawe mikono?,kwa akili yako Logic ya kunawa mikono ni nini unazania?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hapo ndo balaa linaanzia lakini ni gumu kuzuia.Ohoooo !!! Vipi kuhusu hela zenyewe ?
Hii ni moja lakini mkubwa sana ni la makondakta wa mabasi kukusanya nauli na kutoa chenji, ni hatari.Autometed Teller Machine(ATM) ni moja ya kifaa kinachoweza kuchangia sana kusambaa kwa ugonjwa huu wa Corona ila bahati mbaya sana mpaka sasa sijasikia ni hatua gani zinachukuliwa na mabenki pamoja na serikali katika kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa huu kupitia mashine hizi za ATM.
Kwa kifupi,ATM ni kama zinapuuzwa/zimesahaulika wakati zinaweza kuwa na mchango mkubwa sana katika kusambaza gonjwa hili.
Kwa mfano,mtu katoka zake nje ya nchi na katua airport na ili aweze kufanya mizunguko yake kabla ya kufika anakokwenda(iwe ni nyumbani,n.k) anaweza kuhitaji fedha na hivyo atalazimika kutumia mashine hizi na kama ana virusi hivyo, basi ni wazi mashine hizi zitabaki na baadhi ya vijidudu ambavyo vinaweza pia kumuingia mtu(mteja) mwingine.
Mbali na hilo,tarehe za mishahara kwa wafanyakazi wa serikali ndio zinakaribia(tarehe 23/24 ya mwezi) hivyo hatari ya maambukizi kupitia mashine hizi inazidi kuongezeka unless ugonjwa huu unadhibitiwa angali mapema.
Kwanini ATM?
ATM machines ndio hutumika kuolea fedha,fedha ambayo ikitoka katika mashine ya ATM,inaiingia katika mzunguko,hivyo ikiwa na virusi hivi maana yake virusi hivyo vitasambaa kwa watu wengi zaidi mbali na mtoaji wa fedha husika katika mashine hiyo ya ATM.
Hivyo,nashauri Benki Kuu itoea maelekezo kwa mabenki yote kuweka dawa za chlorine kila mahali ambapo mabenki yamefunga mashine hizi na askari wanaolinda mashine hizi ndio watumike kunawisha watu mikono kabla ya kutumia(ku-access) hizi mashine za kutolea fedha.
Ukweli ni kwamba,kutokana na umasikini wetu,maandalizi duni,teknolojia duni tulionayo pamoja na ukubwa wa nchi yetu,kitu pekee kinachoweza kutusaidia/kutuokoa ni kujikinga tu hivyo tuchukue kila tahadhari angali mapema.
Wenzetu walizembe wakiamini huu ugonjwa sio issue kubwa na kwamba ungepita tu, ila leo katika baadhi ya nchi wamefikia hatua ya kuzuia raia wao kuingia mitaani kwa kutumia askari ili kukabiliana na huu ugonjwa.
Mwenzako akinyolewa,wewe tia maji.
Mzahamzaha,hutumbua usaa.
Kwa sasa ni bora kufanya mazoezi ya lazima kwa kutembea kwa miguu badala ya kupanda daladala pale inapowezekana.Hii ni moja lakini mkubwa sana ni la makondakta wa mabasi kukusanya nauli na kutoa chenji, ni hatari.
Mhhhhhh,mfano kama ni wewe unaweza kutoka Kariakoo hadi Mbagara,ukiweza wewe na mimi nimewezaKwa sasa ni bora kufanya mazoezi ya lazima kwa kutembea kwa miguu badala ya kupanda daladala pale inapowezekana.