Hatari ya kusambaa Coronavirus: Mashine za kutolea fedha (ATM Machines) zimulikwe kwani zinaweza kuchangia sana kusambaa kwa ugonjwa huu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Autometed Teller Machine(ATM) ni moja ya kifaa kinachoweza kuchangia sana kusambaa kwa ugonjwa huu wa Corona ila bahati mbaya sana mpaka sasa sijasikia ni hatua gani zinachukuliwa na mabenki pamoja na serikali katika kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa huu kupitia mashine hizi za ATM.

Kwa kifupi,ATM ni kama zinapuuzwa/zimesahaulika wakati zinaweza kuwa na mchango mkubwa sana katika kusambaza gonjwa hili.

Kwa mfano,mtu katoka zake nje ya nchi na katua airport na ili aweze kufanya mizunguko yake kabla ya kufika anakokwenda(iwe ni nyumbani,n.k) anaweza kuhitaji fedha na hivyo atalazimika kutumia mashine hizi na kama ana virusi hivyo, basi ni wazi mashine hizi zitabaki na baadhi ya vijidudu ambavyo vinaweza pia kumuingia mtu(mteja) mwingine.

Mbali na hilo,tarehe za mishahara kwa wafanyakazi wa serikali ndio zinakaribia(tarehe 23/24 ya mwezi) hivyo hatari ya maambukizi kupitia mashine hizi inazidi kuongezeka unless ugonjwa huu unadhibitiwa angali mapema.

Kwanini ATM?

ATM machines ndio hutumika kutolea fedha,fedha ambayo ikitoka katika mashine ya ATM,inaiingia katika mzunguko,hivyo ikiwa na virusi hivi maana yake virusi hivyo vitasambaa kwa watu wengi zaidi mbali na mtoaji wa fedha husika katika mashine hiyo ya ATM.

Hivyo,nashauri Benki Kuu itoea maelekezo kwa mabenki yote kuweka dawa za chlorine/sanitizer kila mahali ambapo mabenki yamefunga mashine hizi na askari wanaolinda mashine hizi ndio watumike kunawisha watu mikono kabla ya kutumia(ku-access) hizi mashine za kutolea fedha.

Ukweli ni kwamba,kutokana na umasikini wetu,maandalizi duni,teknolojia duni tulionayo pamoja na ukubwa wa nchi yetu,kitu pekee kinachoweza kutusaidia/kutuokoa ni kujikinga tu hivyo tuchukue kila tahadhari angali mapema.

Wenzetu walizembe wakiamini huu ugonjwa sio issue kubwa na kwamba ungepita tu, ila leo katika baadhi ya nchi wamefikia hatua ya kuzuia raia wao kuingia mitaani kwa kutumia askari ili kukabiliana na huu ugonjwa.

Mwenzako akinyolewa,wewe tia maji.

Mzahamzaha,hutumbua usaa.
 
Suluhu ni mabenki kuweka pembeni mwa ATM dawa za kunawa mikono.

Au kila raia kutembea na sanitizer mfukoni. Kabla na baada ya kugusa ATM unajipaka mikononi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuhusu pesa vipi? Hasa unaponunua/lipa nauli na kurudishiwa chenchi?!!!! Hasa kwenye daladala, kondakita ana jasho balaa anakurudishia coins?!!!
 
Si ndo maana unaambiwa unawe mikono?,kwa akili yako Logic ya kunawa mikono ni nini unazania?
Autometed Teller Machine(ATM) ni moja ya kifaa kinachoweza kuchangia sana kusambaa kwa ugonjwa huu wa Corona ila bahati mbaya sana mpaka sasa sijasikia ni hatua gani zinachukuliwa na mabenki pamoja na serikali katika kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa huu kupitia mashine hizi za ATM(inawezekana eneo hili limesahaulika).

Kwa kifupi,ATM ni kama zinapuuzwa/zimesahaulika wakati zinaweza kuwa na mchango mkubwa sana katika kusambaza gonjwa hili.

Kwa mfano,mtu katoka zake nje ya nchi na katua airport na ili aweze kufanya mizunguko yake kabla ya kufika anakokwenda(iwe ni nyumbani,n.k) anaweza kuhitaji fedha na hivyo atalazimika kutumia mashine hizi na kama ana virusi hivyo, basi ni wazi mashine hizi zitabaki na baadhi ya vijidudu ambavyo vinaweza pia kumuingia mtu(mteja) mwingine.

Mbali na hilo,tarehe za mishahara kwa wafanyakazi wa serikali ndio zinakaribia(tarehe 23/24 ya mwezi) hivyo hatari ya maambukizi kupitia mashine hizi inazidi kuongezeka unless ugonjwa huu unadhibitiwa angali mapema.

Hivyo,Benki Kuu itoea maelekezo kwa mabenki yote kuweka dawa za chlorine kila mahali ambapo mabenki yamefunga mashine hizi na askari wanaolinda mashine hizi watumike kunawisha watu kabla ya kutumia(ku-access) hizi mashine za kutolea fedha.

Ukweli ni kwamba,kutokana na umasikini wetu,maandalizi duni,teknolojia duni tulionayo pamoja na ukubwa wa nchi yetu,kitu pekee kinachoweza kutusaidia/kutuokoa ni kujikinga tu hivyo tuchukue kila tahadhari angali mapema.

Wenzetu walizembe wakiamini huu ugonjwa sio issue kubwa na kwamba ungepita tu, ila leo katika baadhi ya nchi wamefikia hatua ya kuzuia raia wao kuingia mitaani kwa kutumia askari ili kukabiliana na huu ugonjwa.

Mwenzako akinyolewa,wewe tia maji.

Mzahamzaha,hutumbua usaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[
Autometed Teller Machine(ATM) ni moja ya kifaa kinachoweza kuchangia sana kusambaa kwa ugonjwa huu wa Corona ila bahati mbaya sana mpaka sasa sijasikia ni hatua gani zinachukuliwa na mabenki pamoja na serikali katika kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa huu kupitia mashine hizi za ATM.

Kwa kifupi,ATM ni kama zinapuuzwa/zimesahaulika wakati zinaweza kuwa na mchango mkubwa sana katika kusambaza gonjwa hili.

Kwa mfano,mtu katoka zake nje ya nchi na katua airport na ili aweze kufanya mizunguko yake kabla ya kufika anakokwenda(iwe ni nyumbani,n.k) anaweza kuhitaji fedha na hivyo atalazimika kutumia mashine hizi na kama ana virusi hivyo, basi ni wazi mashine hizi zitabaki na baadhi ya vijidudu ambavyo vinaweza pia kumuingia mtu(mteja) mwingine.

Mbali na hilo,tarehe za mishahara kwa wafanyakazi wa serikali ndio zinakaribia(tarehe 23/24 ya mwezi) hivyo hatari ya maambukizi kupitia mashine hizi inazidi kuongezeka unless ugonjwa huu unadhibitiwa angali mapema.

Kwanini ATM?

ATM machines ndio hutumika kuolea fedha,fedha ambayo ikitoka katika mashine ya ATM,inaiingia katika mzunguko,hivyo ikiwa na virusi hivi maana yake virusi hivyo vitasambaa kwa watu wengi zaidi mbali na mtoaji wa fedha husika katika mashine hiyo ya ATM.

Hivyo,nashauri Benki Kuu itoea maelekezo kwa mabenki yote kuweka dawa za chlorine kila mahali ambapo mabenki yamefunga mashine hizi na askari wanaolinda mashine hizi ndio watumike kunawisha watu mikono kabla ya kutumia(ku-access) hizi mashine za kutolea fedha.

][/QUOTE]

good idea
 
Hii ni moja lakini mkubwa sana ni la makondakta wa mabasi kukusanya nauli na kutoa chenji, ni hatari.
 
Kwa sasa ni bora kufanya mazoezi ya lazima kwa kutembea kwa miguu badala ya kupanda daladala pale inapowezekana.
 
...yaani apa nilipo najisemea tu adi nione mtanzania mmoja kavuta kwa huu ugonjwa,ndo akili itanikaa sawa kuweza kufikiria ayo mavitu.... unless npo tu sina hofu nasongesha life kama kawaida yng
 
Kwa sasa ni bora kufanya mazoezi ya lazima kwa kutembea kwa miguu badala ya kupanda daladala pale inapowezekana.
Mhhhhhh,mfano kama ni wewe unaweza kutoka Kariakoo hadi Mbagara,ukiweza wewe na mimi nimeweza
 
Hili gonjwa ni balaa la karne
Niliposikia hata mke wa waziri mkuu wa canada anao nikachoka kabisa
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom