Hatari ya Corona leo bungeni, hawajavaa Barakoa

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
16,863
Reaction score
62,390
Nimekaa kuangalia hotuba ya rais ya kuvunja bunge, wabunge wengi sana wamo bungeni bila kuvaa barakoa wala bila social distancing ya kutosha. Hali hii ni hatari sana hasa baada ya serikali kuendelea kuwatangazia wananchi kuwa ugonjwa huo bado upo. Mfano jana Waziri mkuu alisema kuna wagonjwa takriban 66 nchini.

Katika hali kama hiyo hii ni hatari sana iwapo kuna watu wana virusi vya korona bila dalili (asymptomatic carriers) wanaweza kusambaza virusi miongoni mwao na pia kuupeleka huko kwenye kaya zao

Sisi kama taifa bado hatujawa serious kwenye kupambana na ugonjwa huu

Tunaona katika baadhi ya nchi kuna resurgence ya huu ugonjwa, kwa mfano Israel, China, South Korea n. k

Badala ya kuongea kwenye lips kuwa tuchukue tahadhari wakati matendo yetu yakiwa ni opposite, ni bora tuwe serious.

Korona inakuja kwenye waves, unaweza kukwepa wave ya kwanza ikaja wave ya pili, na ya tatu

Tukijisahau tunaweza kuja kujuta

Tuwe makini
 
Corona hivyo vijimafua si vya kuisha Leo tutaendelea kuwa navyo kama tunavyoishi na malaria au vijihoma kadhaa, kiufupi chapeni kazi corona haina madhara kabisa kwa binadamu
 
... sio issue sana; Bunge si limekamilisha kazi yake lililotumwa kuifanya na linavunjwa leo?
 
Wewe Umeona wabunge pekee!! Ni Hadi mabarozi wa kibeberu nao pia hawakuvaa,

Wakitoka hapo wataandika kwenye Twitter zao kuwa Bongo wanakufa na kuenezeana Corona
 
Nimekaa kuangalia hotuba ya rais ya kuvunja bunge, wabunge wengi sana wamo bungeni bila kuvaa barakoa wala bila social distancing ya kutosha. Hali hii ni hatari sana hasa baada ya serikali kuendelea kuwatangazia wananchi kuwa ugonjwa huo bado upo. Mfano jana Waziri mkuu alisema kuna wagonjwa takriban 66 nchini.

Katika hali kama hiyo hii ni hatari sana iwapo kuna watu wana virusi vya korona bila dalili (asymptomatic carriers) wanaweza kusambaza virusi miongoni mwao na pia kuupeleka huko kwenye kaya zao

Sisi kama taifa bado hatujawa serious kwenye kupambana na ugonjwa huu

Tunaona katika baadhi ya nchi kuna resurgence ya huu ugonjwa, kwa mfano Israel, China, South Korea n. k

Badala ya kuongea kwenye lips kuwa tuchukue tahadhari wakati matendo yetu yakiwa ni opposite, ni bora tuwe serious.

Korona inakuja kwenye waves, unaweza kukwepa wave ya kwanza ikaja wave ya pili, na ya tatu

Tukijisahau tunaweza kuja kujuta

Tuwe makini
Bado tunatakiwa tuendelee kuchukua tahadhari,na maisha ya kawaida lazima yaendelee mkuu,milipiko haitaisha,ni kama unavyoona Ebola inakuja na kuondoka,inapokuwepo tahadhari inawekwa na pale ugonjwa ukiisha au kupungua maisha ya kawaida yanasonga...
 
Nimekaa kuangalia hotuba ya rais ya kuvunja bunge, wabunge wengi sana wamo bungeni bila kuvaa barakoa wala bila social distancing ya kutosha. Hali hii ni hatari sana hasa baada ya serikali kuendelea kuwatangazia wananchi kuwa ugonjwa huo bado upo. Mfano jana Waziri mkuu alisema kuna wagonjwa takriban 66 nchini.

Katika hali kama hiyo hii ni hatari sana iwapo kuna watu wana virusi vya korona bila dalili (asymptomatic carriers) wanaweza kusambaza virusi miongoni mwao na pia kuupeleka huko kwenye kaya zao

Sisi kama taifa bado hatujawa serious kwenye kupambana na ugonjwa huu

Tunaona katika baadhi ya nchi kuna resurgence ya huu ugonjwa, kwa mfano Israel, China, South Korea n. k

Badala ya kuongea kwenye lips kuwa tuchukue tahadhari wakati matendo yetu yakiwa ni opposite, ni bora tuwe serious.

Korona inakuja kwenye waves, unaweza kukwepa wave ya kwanza ikaja wave ya pili, na ya tatu

Tukijisahau tunaweza kuja kujuta

Tuwe makini
Subiri uone misiba inayofuata mwezi ujao.
 
Inawezekana corona imeisha kweli or haiko fair
 
Corona imekwisha kwa kiwango kikubwa we bado unaleta ndoto nyevu
 
Back
Top Bottom