hatari! Watoto wanaruka ukuta... Shaurimoyo kwanza oi !!

hatari! Watoto wanaruka ukuta... Shaurimoyo kwanza oi !!

Duduwasha

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
5,701
Reaction score
3,664
155485_457261727664862_663599425_n.jpg

oi Ushawahiruka ukuta wewe! enzi zako!
 
wanaenda chimbo.
Nakumbuka hii pale Shule ya Msingi zanaki kulikuwa na ukuta kama huu ila wenyewe mfupi kidogo karibu na madarasa ya kwanza na pili kwa nyuma kila jioni tukienda kucheza soccer au basketball lazima tuuruke
 
tatizo walimu sikuhizi wamevunjika moyo kwakua wao wamefanywa daraja la kuvukia lakini wao wanakufa njaa
 
Sio mashoga ni Mabasha
Mnataka kuipotosha dhumuni kuu la thread,kwa kulazimishia mambo mnayotaka nyinyi wenyewe,mtoa mada alikuwa anataka kuonyesha watoto walivyo watundu hata kufikia kuruka ukuta ili waingie shule kwa kuwa wamechelewa au wanajaribu kutoroka shule!
 
Nimegundua gap ni kubwa kwa wanaoelewa na wasioelewa, hata picha hii jmn? Hata Kama la Saba.
 
Back
Top Bottom