The Guitarist JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 3,546 Reaction score 5,219 Nov 30, 2024 #41 Nafkiri mwakani 2015 kijana atafika mbali sana ...huwenda akaonekana kwenye majukwaa ya kampeni...Sasa sijui Lowasa Ataipeperusha bendera ya CCM ama Mzee Membe yote kwa yote Majibu anayo JK tuombe uzima.
Nafkiri mwakani 2015 kijana atafika mbali sana ...huwenda akaonekana kwenye majukwaa ya kampeni...Sasa sijui Lowasa Ataipeperusha bendera ya CCM ama Mzee Membe yote kwa yote Majibu anayo JK tuombe uzima.