mchumia tumbo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 1,457
- 471
Mwisho wa siku kitaeleweka
kumbe lowassa,membe na sitta ni opposition?sina uhakika kama mkulu alikusudia kulisema hili au lilimtoka bahati mbaya.
Kama mwandishi wa habari hii hajachakachua statement ya JK, basi inawezekana Lowasa na Membe kwenye chama chao wanawatambua kuwa ni mamruki toka opposition parties
Mimi kama Mtz nasubiri kikao cha Jumatatu, hata hivyo moyo wangu hauna amani huenda ziwa likawa sio letu. Kitakachofuata ni mlima Kilimanjaro.
kumbe lowassa,membe na sitta ni opposition?sina uhakika kama mkulu alikusudia kulisema hili au lilimtoka bahati mbaya.
Tanzanian President Jakaya Kikwete has categorically denied reports that his country is preparing to go to war with its neighbour, Malawi, because of a dispute over Lake Malawi, where a British- based company is exploring for oil.
Speaking to journalists after a closed discussion with the Malawi President Mrs Joyce Banda in Maputo, Mozambique, the Tanzanian leader said the war mongering comments were coming from overzealous opposition parties in his country who want to score political mileage over the issue.
"I am the Commander of the army. I have not issued any directive to my armed forces for war. So if it did not come from me, it is not true," said Kikwete.
Kiranga.Kikwete said the right thing.
Hata kama tunajitayarisha kwa vita kweli, alitakiwa kusemaje? Tunajitayarisa kwa vita?
He said "the right thing" in what terms?Kikwete said the right thing.
Hata kama tunajitayarisha kwa vita kweli, alitakiwa kusemaje? Tunajitayarisa kwa vita?
Yani bora umegundua mapema sasa Kama mama ajasema 100% ni lake alafu mbayuwayu anaomba huruma ya maongezi tena kwa kutukandia kuwa waliosema wako tayari kwa vita ni wapinzani wakati ni ccm wenyewe huoni alikuwa anaomba kuhurumiwa? Naamini ziwa limetutoka kifuatacho ni kilimanjaro, serengeti na bukoba.... Kweli Hata bibilia iliandikwa dawa au fimbo ya kidume ni kijike tuu. Kawa mpole eti anamuita joice my (sister) (if I make billion dollars a month I will make Tanzanian to be heaven) (mkigoma tuu mmepoteza ajara) (mkiandamana tuu mtagawana majengo ya serikali moi na segerea) (Mimi sio mungu kuwa ntafanya mvua inyeshe) (Hata Mimi sielewi kwanini watanzania ni masikini) (wanafunzi wanapewa mimba kwa ajili ya kiherehere chao) sasa kiongozi mwenye kauli Kama hizi unategemea niñi hapo? Wana ccm walipotangaza vita na Malawi mbona haja kanusha in public hapa tz anakwenda kujitetea kwenye nchi ya adui Kama sio trator huyu? Huyu jamaa hakustahili kuwa Hata balozi wa nyumba kumi ndio maana Nyerere alimkataa akamfariji kwa kumwambia umri wako bado...hivi kwanini Siku moja tusiseme basi Kama Libya na kwingineko? Kuvumilia mpaka tuchakachuliwe tena 2015 alafu tuvumilie tena mpaka 2025 jamani bora nihamie Somalia ambapo kila mtu ni kiongozi wa maisha yake no govt no shitMimi kama Mtz nasubiri kikao cha Jumatatu, hata hivyo moyo wangu hauna amani huenda ziwa likawa sio letu. Kitakachofuata ni mlima Kilimanjaro.
we are ready to defend our sovereignty at any cost," said Committee Chairman, Edward Lowassa (CCM).
Mr Bernard Membe, strongly warned Tanzanias southern neighbour, Malawi. He ordered an immediate stop to all gas and oil prospecting activities on the portion of Lake Nyasa that falls on the Tanzania side.
Prof Abdallah Safari(CDM), a lawyer and expert in international relations, urged both countries to respect the international laws which show boundaries between countries
Prof Mwesiga Baregu(CDM) warned both countries not to engage in military confrontation. Rather, said the Professor in Political Science and International Relations, the two countries should resolve the dispute diplomatically. Both countries should not be drawn into military action because the consequence of doing so is very dire not only to Tanzania and Malawi but for the entire Sadc (Southern Africa Development Community) region, warned Prof Baregu