pale kapigwa mara 2 kwanza tairi pili kichwa chini.....Kwa ule mkito wa kisogoni.. , mhhh.....
Sijui tu....
Mbona kamjali mwenzie alivyogongwa?DUH! sijui kama kapona,,,,,wadada wengine mh
kamjali ndio..angekuwa mwenyewe angeangalia pembeni. kanyoooka mbele tu!Mbona kamjali mwenzie alivyogongwa?
Sasa mdada ana kosa gani hapo!?DUH! sijui kama kapona,,,,,wadada wengine mh
Ni ajali..ila huoni mdada katangulia jamaa anawahi hatua na tairi likatua..angekuwa mwenyewe tairi lingepita kabka yakeSasa mdada ana kosa gani hapo!?