Hatari rangi za nyumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatari rangi za nyumba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaitaba, Dec 21, 2009.

 1. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Utafiti uliofanywa na watafiti wa hapa nchini wakishirikiana na wale wa India wamegundua kuwa rangi zinazopakwa kwenye kuta za nyumba zina kiwango kikubwa cha madini ya risasi (Lead)
  madhara yake ni;
  -Kuvuruga mfumo wa uzazi,
  -usikivu kuwa mdogo kwa watoto,
  -Upungufu wa akili
  -Kuongeza uchizi na hasira za mala kwa mala,

  Kazi kwetu watumiaji.
   
 2. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Please justify your stement by giving us sources of your research
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Utafiti huo umefanywa lini na kina nani e.g dr/prof/research associate....? rangi za maji au za mafuta? hizo rangi ni mported au local made? walitoa solution gani?
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mbona hamna mbele wala nyuma? umefanya wewe huo utafiti?
   
 5. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Taharifa ya habari saa 7 mchana huu TBC taifa
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,262
  Likes Received: 21,978
  Trophy Points: 280
  utafiti huo ni kwa mujibu wa muunganiko wa waganga na wachawi maarufu hapa jiji wasiotaka nyumba zipigwe rangi ila tuendelee kukandika kuta kwa nnya ya ng'ombe
   
 7. October

  October JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Duu!!! Hii nayo kali..
   
 8. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Soma vizuri mkuu, utafiti umefanywa na Tanzania na India.
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  There must be a conflict of business interests here!
  Hz rangi ni lini zimeanza kuwa na madhara hayo?, Mbona zinatumika tangu time-imemorial?
  Weka sawa hii mambo, labda kama ni hizi za kisasa za silk etc!
   
 10. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mara kwa mara
   
 11. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...wa wapi wewe?? cheki red hiyo!!
   
Loading...