Hatari nyingine tunazitafuta wenyewe

Hakuna raha duniani kama kucheza na mnyama mkali kama simba
 
Simwamini hata paka mkuu, Jongoo ndio kabisa utanikuta mtaa wa pili na kilio juu
 
Wenyewe watu wa hifadhini wanakwambia tembo ni hatari zaidi kuliko simba
 
Hapo naona muscles zimevuta baada ya kushindana mbio
 
Ni sawa na kuchezea sarafu kwenye tundu la choo. Chance ya kutumbukia ni kubwa zaidi kuliko ya kuto kutumbukia!
 
Jamaa halafu anaogopa sisimizi knyama!

shua nakwambia!
 
wanaelewana hao japo urafiki wao ni wa mashaka
 
ah... huyu jamaa sijui akili yake ikoje!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…