Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,287
- 14,592
unaweza kumsalimia mtu mkubwa kwako salamu yenye heshima, na akakujibu "Jamani unataka kuninyima nini.
Ni shida sana kwa kweli...Watakuja kukuuliza jinsia yako ni ipi?
Tuliza fuvu utaelewa tu...Mala kwa mala sijaelewa
Dar es salaam ni Town City pekee nchini kwetu ambapo unaweza kukutana na watu wa kila aina, asili na tabia tofautitofauti.
Hapa bwana unaweza kumtongoza mwanamke leo, na mkamalizana leoleo bila longolongo. Ni sehemu pekee unaweza kumsalimia mtu mkubwa kwako salamu yenye heshima, na akakujibu "Jamani unataka kuninyima nini.' Ni jiji pekee lisilokua na amani miongoni mwa majirani au wapangaji katika nyumba moja.
Ni sehemu ambayo inahitaji uelewa mkubwa ili uweze kuishi na watu vyema. Je ni mbinu gani unatumia kukwepa changamoto na vijambo vya mala kwa mala jijini hapa?.
Kijana umekulaa...?
sijala mkuu wangu, nukupe lipa namba urushe hata ka 50kKijana umekulaa...?
Usijari siku hizi teknolojia ya mazingaombwe imeendelea mbele, inatuma hadi pesa kama M-PESA, haina haja ya lipa namba we funua tu kitanda uvute noti ukale kijana wangu...sijala mkuu wangu, nukupe lipa namba urushe hata ka 50k
Sawa mkuu 😅Usijari siku hizi teknolojia ya mazingaombwe imeendelea mbele, inatuma hadi pesa kama M-PESA, haina haja ya lipa namba we funua tu kitanda uvute noti ukale kijana wangu...
Ok kijana wangu...Sawa mkuu
Karibu sana kijana...nikiwa mkubwa nitakuja huko darisalamu nijionee hayo unayoyasema ni kweli ?
Ni hatari sana...Dar ni jiji la pilika nyingi kwa watu wa rika zote. Kumuamini mtu usiemjua hata kwa uchache dasalama ni kosa kubwa sana linaloweza kukugharimu maisha yako yote. Kwenye hili nna kisa kimoja kilitaka nitokea sema mr machale nikashtuka.
Dasalama kusimamishwa na mtu kavaa vizuri kukuzidi alafu anakuomba jero ya nauli ni kitu ya kawaida.
Hakuna wa kutokea bush hapa, labda hiyo miji unayoizungumzia ndio sijafika...Dogo umetokea bush sana nini??
Hayo mambo mbona yapo miji mingi tu hapa nchini?
Enewei karibu daslam.
Sahihi mkuu...Hamna mkoa hapa Tanzania una wadada wa poa wazuri kama Dsm.wachana wadada poa wa moshi wasiokuwa na fomuyula wapo wapo.