Hatari na changamoto za Boeing 787 Dreamliner.....

Acha utoto. Tunahaki ya kuhoji matumizi ya kodi tunazotoa.
Tatizo liko wapi mkuu nyingine tumenunua dawa,mishahara , reli ya standard gauge,bombadia,dreamliner na mengine mengi tu.
 
Weeeee!!!!
Panda ndege usilete longolongo.
 
Tatizo liko wapi mkuu nyingine tumenunua dawa,mishahara , reli ya standard gauge,bombadia,dreamliner na mengine mengi tu.
Hivi kumiliki ndege ni kipaumbele kwa sasa?
 

Hakuna kitu kama hicho.
Dar es Salaam Tower,Dar es Salaam Tower, (JKNIA)
This is Five Hotel......Delta Lima November....
Request Landing Clearance from JFK
QNH.... One Zero One Five
238 Soul on Board..........Daaaaah nyie vepee mbona hampendi rahaaa .......
 
Hivi kumiliki ndege ni kipaumbele kwa sasa?
Viko vingi lkn dreamliner ni miongoni mwa vipaumbele vyetu,hii ni serikali ya mwendo kasi kila kitu kwetu ni kipaumbele barabara,madawa,usafiri wa majini hakuna tulichoacha lkn dreamliner imewashika,kumbuka pia binadamu hamlidhiki kama wewe umekaa nyuma ya huawei y300 huna wasiwasi serikali yaweza kuletea kila kitu kuanzia hospitali,mavazi,chakula,na viburudisho lkn kwa ajili za ufipa utaulizia mbona choo mmesahau,nyie mtulie someni namba.[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nadhani ungejikita kukishauri chama chenu kijenge ofisi kiondoke kwenye makazi ya watu kule ufipa..
Sipendi CCM ila kwa hili upo sahihi. Wakae kmya CCM ijishauri yenyewe huku ikifa taratibu.
 
Wangapi watamudu gharama ya hiyo ndege?

Hizo hela zingetosha kuhudumia vijiji vingapi vipate maji safi na salama?
 
JF kuna ma engineer,wachumi na washauri elekezi uchwara tu.
Mashirika ya ndege yote makubwa yanatumia ndege hizo,ila kwa kuwa makugufuli kanunua imekuwa tatizo
Nyie ndio mbwa mwitu wa kwenye bibilia
 

Tumuache ngosha apige kazi sisi jukumu letu kumsaidie tuweze kusonga,wenzetu kenya wamenunua sita kwa mpigo
Tuangalie vipi tutapambana nao sokoni at least ngosha angechukua 3/4 hivi kwa speed ya dunia inavyokwenda ili tujue hatuna mpango wa ndege mpaka 10 yrs
 
Nadhani ungejikita kukishauri chama chenu kijenge ofisi kiondoke kwenye makazi ya watu kule ufipa..
Ofisi ya kukodi na dreamliner wapi na wapi,?
Sio kila mada iwe ccm vs chadema.
Mnadhuru afya ya mijadala yenye manufaa kwa nchi.
 
"Five Hotel Delta Lima November, this is JKNIA Tower, you are cleared for landing on runway 1,
Descend to 5000ft and......."
 
Wewe utaalamu wa ndege uneanza lini?? Hata bombardier mlisema hvyo hvyo ila leo zinabamba na Dj aliongoza msafara kuwahi siti ya dirishani.
 
Kuna wajinga ambao wao kazi yao ni kutafuta namna ya kupinga kila kitu. Politicize everything
 
Nipe madhaifu ya air force one niyaone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…