Hatari mchawi akamatwa akitafuna mtoto!

Hatari mchawi akamatwa akitafuna mtoto!

Jembemtaji

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
1,192
Reaction score
929
Imetokea nyuma ya hospital ya Meta mkoani Mbeya.
 
Attachments

  • 1430507749362.jpg
    1430507749362.jpg
    50.4 KB · Views: 3,658
  • 1430507767299.jpg
    1430507767299.jpg
    64.5 KB · Views: 3,351
  • 1430507780080.jpg
    1430507780080.jpg
    68.9 KB · Views: 3,242
  • 1430507801329.jpg
    1430507801329.jpg
    48.4 KB · Views: 3,175
hivi mkuu hospitali ya mkoa iko maeneo gani hapo Mbeya
 
Mleta Uzi acha uongo hii picha me ninayo Tangu mwaka Jana na nilitumiwa nikaambiwa mchawi amedondoka na Ungo Songea hivyo story ya hizi picha mpaka kesho haijulikani ni Kisa gani me naishi hapa Mbeya na Hospital ya meta hakuna Tukio la Namna hiyo ambalo limewahi kutokea hivyo usiuaminishe Umma kitu ambacho si cha kweli.
 
Mi niko eneo la tukio acha uzushi.
 
Mleta Uzi kama upo eneo la tukio niambie kweli upo maeneo gani me nakuja hapo manake naishi maeneo ya Jakalanda uongo wa namna hii sio mzuri kabisa
 
Mleta Uzi kama upo eneo la tukio niambie kweli upo maeneo gani me nakuja hapo manake naishi maeneo ya Jakalanda uongo wa namna hii sio mzuri kabisa

Duh!!! Mkuu toka Jakaranda hadi Meta ni mbali kiasi kwamba uwe unajua kilichotokea hapo Hospitali...

Ungesema unaishi Forest, Mabatini au Simike kidogo ungeaminika...
 
Back
Top Bottom