Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,582
- Thread starter
-
- #41
Hili swala la kuzuia Tv kuonesha live coverage ya Dr Slaa kuna mtu atalijutia karibuni. Huu haukuwa uamuzi mzuri kisiasa.
Mimi nahesabu siku tu.....tik tak tik tak...
Watanunua hata magazeti yote lakini hawawezi kushindana na ukweli pamoja na nguvu za wakati zilizovaa matairi ya teknolojia.
Wachina wanashindwa kublock internet pamoja na ujanja wao wote (wameweza kuhack mpaka computer za serikali ya marekani) itakuwa sisi kina Ngumbaru Mwitu?
Maadam tushaipata hapa walie tu.Tena ngoja niikopi kabisa na kuituma katika email yangu.
Majambazi is too light!
Yani watu wauze nchi nchi unawaita majambazi?
Hapa ni FREEDOM TUNAPIGANIA NA SI KUFUKUZA MAJAMBAZI!
Pole sana Miratkad .Go easy tumesha anza mapambano na tutashinda mkuu .Kasheshe yeye sijui huwa anawaza nini .Jana alikomaa hapa hata kama ni mapenzi si hivi .Kuona kipande cha hotuba yaa Slaa kwenye TBC si sawa na kuacha watu wamsikie na kumuona LIVE ana mwaga hotuba yake yote .Wacha nikalale ningoje majibu ya wana Nchi kwa hawa CCM.
Je mtakubali nyie na ndugu zenu kununuliwa na tisheti na vikofia na ugoro ? Kule kwetu wanagawa mpaka ugoro ili wapewe kura .