Ndio maana nimepiga marufuku nyama nyumbani kwangu. Ni mwendo wa kuku, samaki, pweza, jamii ya maharagwe na mboga baasi. Haya mambo ya kulishana punda mara mbwa mara mzoga; na sasa leo binaadam siyataki
Wapenda nyama kwa hili mtakuwa mmejifunzg. unakuta tuko barabarani lete nyama ya kukaanga mara lete mishikaki.epuka kulakula nyama ovyo maana utakujakundua umekula nyama ya baba yako muda mfupi baadae. nyama salama ukiwa njiani ni samaki na kuku maana hata wakiweka ndege wa ajabu haitakuwa na hisia mbaya kama kula nyama ya mtu. mkoa nyama ni adimu halafu unakuta kipande kikubwa cha supu 500 wewe unafakamia tu hata haujiulizi. punguza matumizi ya nyama kwa afya yako. wauza nyama hata tz si waaminifu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.