uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,853
- 38,479
Haiwezi kutokea kwa sababu pia Papa ni kiongozi wa kisiasa wa watu wa Rome. Eurocentrism na traditions zao haziwezi kukubali.
Then ukatoliki ni scarm
Haiwezi kutokea kwa sababu pia Papa ni kiongozi wa kisiasa wa watu wa Rome. Eurocentrism na traditions zao haziwezi kukubali.
mjaje sababu kwa nini papa mweusi hatatokea
Watu wanataka Papa mweusi. Kwani wakatoli weusi ni % ya Wakatoliki wote duniani?Papa Black? Now way. Mmeiona Conclave? Papa mweusi never ever. Hatotokea kamwe.
Always Papa atakuwa Mzungu. Mweusi hapana
Makadinali wote ni raia wa Vatican na wanabeba diplomatic passports za vaticanPapa ni Rais wa Vatican. How comes atoke Afrika kuiongoza Vatican?
Big NO!
Sio kweli papa sio gavana au kiranja wa Rome usichanganye vatican na Rome.We unajua majukumu ya papa au unauliza ujinga tu, papa nikiongozi pia wa Rome, sio tu wa katoliki, sasa akiwa mweusi itakuja?
Papa si kiongozi wa Rome, bali wa Vatican, mbona ubishi usio na maana !We unajua majukumu ya papa au unauliza ujinga tu, papa nikiongozi pia wa Rome, sio tu wa katoliki, sasa akiwa mweusi itakuja?
unaijua dola ya Rumi wewe?Then ukatoliki ni scarm
Haya nikiongozi wa Vatican ndo akaongoze mweusi? Au Vatican ipo AfricaPapa si kiongozi wa Rome, bali wa Vatican, mbona ubishi usio na maana !
Papa Black? Now way. Mmeiona Conclave? Papa mweusi never ever. Hatotokea kamwe.
Always Papa atakuwa Mzungu. Mweusi hapana
Unajua uchaguzi wa Papa huwa unafanyikaje?Papa Black? Now way. Mmeiona Conclave? Papa mweusi never ever. Hatotokea kamwe.
Always Papa atakuwa Mzungu. Mweusi hapana
papa ni mtawala wa kisiasa wa Vatican city.Pamoja na kuwa Mzungu bado atatoka Ulaya hasa Italy.Huyu mwendazake ana asili ya Italy na ndo papa wa kwanza kutoka Latin America.Nani achague papa mweusi? Asilimia 38 ambayo ni makadinali 41 kati ya 108 watakaopiga kura wanatoka Ulaya,Latin America 19 na North America 5 .Hap wote ni wazungu.Afrika wapo saba tu.Halo unampata vipi papa Mwafrika?Haiwezi kutokea kwa sababu pia Papa ni kiongozi wa kisiasa wa watu wa Rome. Eurocentrism na traditions zao haziwezi kukubali.
kwa sababu alikuwa mweupeIlikuwaje akatoka Argentina?
Familia yake ilihamia Argentina kutoka Italy,walimkimbia Benito Mussolini.kwa sababu alikuwa mweupe
pope is the sovereign of the Holy See.Sio kweli papa sio gavana au kiranja wa Rome usichanganye vatican na Rome.