Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,180
- 22,801
Papa Black? Now way. Mmeiona Conclave? Papa mweusi never ever. Hatotokea kamwe.
Always Papa atakuwa Mzungu. Mweusi hapana
Always Papa atakuwa Mzungu. Mweusi hapana
mtaje sababu kwa nini papa mweusi hatatokeaPapa Black? Now way. Mmeiona Conclave? Papa mweusi never ever. Hatotokea kamwe.
Always Papa atakuwa Mzungu. Mweusi hapana
Pope Francis mbona hakuwa mroma? Alikuwa muargentinaHaiwezi kutokea kwa sababu pia Papa ni kiongozi wa kisiasa wa watu wa Rome. Eurocentrism na traditions zao haziwezi kukubali.
Papa Black? Now way. Mmeiona Conclave? Papa mweusi never ever. Hatotokea kamwe.
Always Papa atakuwa Mzungu. Mweusi hapana
Ndugu, kwa kusema ukweli tu wa Mungu—maandishi yako yanaonekana kbx kama yameandikwa kwa asilimia 90 na akili bandia (AI). Yamepangwa kwa ustadi wa hali ya juu mno, lugha yake ni fasaha sana Bila grammatical error s, na yana mtririko mzuri mno kana kwamb ni kifungu kutoka kwenye kitabu cha kiada. Pia, hayana emotional tone, mtazamo wa kipekee, wala stori ya mtu halisi—ni taarifa tupu zilizoandikwa kwa mtindo wa kitaalamu ulionyoooka.Hii ni daliili ya kawaida ya maandishi yaliyoandaliwa na AI.Kama ulitumia AI, hakuna tatizo kabisa—lakini kama uliandika wewe mwenyewe, basi hongera unaandika kama roboti!Swali lako limegusa jambo la msingi sana katika historia na kanuni za Kanisa Katoliki — na jibu lake linavutia:
Ndiyo — taratibu za Kanisa Katoliki zinamruhusu Kardinali mweusi kuwa Papa na kuongoza Roma pia.
Hivi Ndivyo Inavyofanya Kazi:
Papa anapochaguliwa, anachaguliwa na mkutano wa makardinali (Conclave).
Kwa sasa, makardinali walio chini ya miaka 80 wana haki ya kupiga kura kumchagua Papa mpya.
Mtu yeyote anaweza kuchaguliwa kuwa Papa — mradi awe mwanaume mbatizwa wa Kanisa Katoliki.
Kwa kawaida, huchaguliwa kutoka miongoni mwa makardinali, lakini kiutaratibu hata Mkristo wa kawaida anaweza kuteuliwa (ingawa hilo halijawahi kutokea karne nyingi)
Akishachaguliwa:
Bila kujali anatoka nchi gani au rangi gani, anakuwa Papa wa Roma na Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani.
Pia anapewa cheo cha Askofu wa Roma, kwa sababu kihistoria, urithi wa Petro kama Papa unahusiana na kuwa Askofu wa Roma.
Anapochaguliwa, jina lake la kawaida hubadilishwa na kuchukua jina la Kipapa (kama Francis, Benedict, au John Paul)
Je, Kuna Kizuizi Kwa Kardinali Mweusi?
Hapana kabisa. Hakuna kizuizi cha rangi wala taifa.
Kwa kweli, Kardinali Peter Turkson wa Ghana, Kardinali Robert Sarah wa Guinea, na wengine kutoka Afrika wamewahi kutajwa mara nyingi kama wagombea wanaowezekana.
Kitu cha Kukumbuka:
Kanisa Katoliki linajiona kuwa la ulimwengu mzima (katoliki = universal), hivyo linapaswa kumwakilisha kila mtu, na hiyo inajumuisha uwezekano wa kuwa na Papa wa Kiafrika, au mweusi, au kutoka Asia.
Kifupi:
Kardinali mweusi akichaguliwa — anakuwa Papa wa Roma, kiongozi wa ulimwengu mzima wa Katoliki — sawa na mapapa wengine.
Hakuna kipingamizi cha sheria wala utaratibu wa
AINdugu, kwa kusema ukweli tu—maandishi yako yanaonekana kama yameandikwa kwa asilimia 90 na akili bandia (AI). Yamepangwa kwa ustadi wa hali ya juu, lugha yake ni fasaha sana bila makosa yoyote ya kisarufi, na yana mtririko mzuri mno kana kwamb ni kifungu kutoka kwenye kitabu cha kiada. Pia, hayana emotional tone, mtazamo wa kipekee, wala hadithi ya mtu halisi—ni taarifa tupu zilizoandikwa kwa mtindo wa kitaalamu ulionyoooka. Hii ni dalili ya kawaida ya maandishi yaliyoandaliwa na AI. Kama ulitumia AI, hakuna tatizo kabisa—lakini kama uliandika wewe mwenyewe, basi hongera, unaandika kama roboti!
Papa ni Rais wa Vatican. How comes atoke Afrika kuiongoza Vatican?mjaje sababu kwa nini papa mweusi hatatokea
Why not?Papa ni Rais wa Vatican. How comes atoke Afrika kuiongoza Vatican?
Big NO!
Sijakuelewa una maana gani.Labda kwa akili za kufirika łakina kwa taratibu za ‘conclave’ anything is possible.
Watanzania ni wavivu wa kutumia akili.
Kuna hili tatizo ambalo ni kubwa sana kwenye jamii la kutoa conclusion kutokana na mawazo ya mtu.
Hili ni tatizo kubwa sana Tanzania,
Yaani mtu anaweza fikiria ujinga tu kutoka kichwani and that’s it, a guiding belief or a fact on the matter.
Uwezi kuelewa kwa sababu hujui what is conclave.Sijakuelewa unavmaana gani.
Kinachosemwa hapa ni kwamba wazungu hawako tayari kuongozwa nabblack races.
Huyu marehemu mwenyewe alikuwa mbaguzi wa rangi kiasi cha kuonesha wazi kwa kukataa mkono wa salam tu kutoka kwa baadhi ya watu weusi.
Na Yule Mua Argentina ilikuaje?.Papa ni Rais wa Vatican. How comes atoke Afrika kuiongoza Vatican?
Big NO!
Ilikuwaje akatoka Argentina?Papa ni Rais wa Vatican. How comes atoke Afrika kuiongoza Vatican?
Big NO!
Papa Black? Now way. Mmeiona Conclave? Papa mweusi never ever. Hatotokea kamwe.
Always Papa atakuwa Mzungu. Mweusi hapana
Watu weusi hatuna akili. Hata mimi napinga.mjaje sababu kwa nini papa mweusi hatatokea
Inawezekana kwa sababu kuna pope anayeratibu mambo yote tofauti na huyu wa mavazi meupe anayeonekana kila maraSwali lako limegusa jambo la msingi sana katika historia na kanuni za Kanisa Katoliki — na jibu lake linavutia:
Ndiyo — taratibu za Kanisa Katoliki zinamruhusu Kardinali mweusi kuwa Papa na kuongoza Roma pia.
Hivi Ndivyo Inavyofanya Kazi:
Papa anapochaguliwa, anachaguliwa na mkutano wa makardinali (Conclave).
Kwa sasa, makardinali walio chini ya miaka 80 wana haki ya kupiga kura kumchagua Papa mpya.
Mtu yeyote anaweza kuchaguliwa kuwa Papa — mradi awe mwanaume mbatizwa wa Kanisa Katoliki.
Kwa kawaida, huchaguliwa kutoka miongoni mwa makardinali, lakini kiutaratibu hata Mkristo wa kawaida anaweza kuteuliwa (ingawa hilo halijawahi kutokea karne nyingi)
Akishachaguliwa:
Bila kujali anatoka nchi gani au rangi gani, anakuwa Papa wa Roma na Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani.
Pia anapewa cheo cha Askofu wa Roma, kwa sababu kihistoria, urithi wa Petro kama Papa unahusiana na kuwa Askofu wa Roma.
Anapochaguliwa, jina lake la kawaida hubadilishwa na kuchukua jina la Kipapa (kama Francis, Benedict, au John Paul)
Je, Kuna Kizuizi Kwa Kardinali Mweusi?
Hapana kabisa. Hakuna kizuizi cha rangi wala taifa.
Kwa kweli, Kardinali Peter Turkson wa Ghana, Kardinali Robert Sarah wa Guinea, na wengine kutoka Afrika wamewahi kutajwa mara nyingi kama wagombea wanaowezekana.
Kitu cha Kukumbuka:
Kanisa Katoliki linajiona kuwa la ulimwengu mzima (katoliki = universal), hivyo linapaswa kumwakilisha kila mtu, na hiyo inajumuisha uwezekano wa kuwa na Papa wa Kiafrika, au mweusi, au kutoka Asia.
Kifupi:
Kardinali mweusi akichaguliwa — anakuwa Papa wa Roma, kiongozi wa ulimwengu mzima wa Katoliki — sawa na mapapa wengine.
Hakuna kipingamizi cha sheria wala utaratibu wa Kanisa.
huwaoni makardinali weusi raia wa nigeria, ghana na mataifa mengine ya weusi walioko vatikani?Papa ni Rais wa Vatican. How comes atoke Afrika kuiongoza Vatican?
Big NO!