Hataki unyumba na mimi kisa nina govi

Pilitoni

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
1,207
Reaction score
520
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, naishi Dodoma.
Mwaka mmoja sasa nimekuwa na uhusiano wa kimapenzi na Msichana hapa Dodoma hakuwa na tatizo na kutotahiriwa. kwangu lakini ni wiki moja sasa amegoma kabisa kunipa,amedai nikatahiriwe kwanza ndio nije kula mzigo.

Mimi siwezi sababu mila za kwetu zinakataza. Kichwa kinauma na hapa nimechanganyikiwa najiuliza huyu akinikimbia nitapata wapi mwingine anayeweza kukubaliana na hali yangu,naomba.

Msaada wa mawazo jamani.
 
Ndo ivyo ndugu, nenda kalitoe hilo li mkono la sweta litunza udaga. Haujihisi harufu mbaya?
 
Tafuta demu anaeendana na mila zenu za kutokutahiliwa.
 
Tafuta demu anaeendana na mila zenu za kutokutahiliwa.
 
Nakumbuka enzi zile za dondosha mkono sweta kuna mama mmoja aliulizwa kuhusu radha ya dushelele ya mumewe baada ya kutahiriwa. Yule mama alidai ladha imepungua sana baada ya kudondosha mkono sweta. Hatare..... angalia iwe ni win win situation..... not win-lose situation.
 
hehehehe na utaniona sana na hadi utapasuka! kama hutaki kuniona wambie mods wanipinge ban ya miaka 2.

Miaka miwili mbona michache?!.. Wala sipasuki lioneeee... Na uzi wako ulifutwa iloooooo....
 
Pilitoni

duu toa uchafu wewe wewe labda linanuka sana..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nadhani mambo madogo kama haya yanahitaji mazungumzo baina ya wewe na huyo mpenzi kwa kuwa wewe ndiye mwenye sweta na yeye ndiye unayemgegeda na yeye ndiye anayeipata karaha ya hilo kono la sweta...

isitoshe ameshasema wazi halitaki sweta anataka uliondoe sweta ubaki na kaoshi sasa hapo tukupe mawazo gani...zaidi ya wewe mwenyewe kufanya maamuzi kuliondoa sweta na kuendelea kufaidi huduma ya mpenzi wako au kudumisha mila na kusitishiwa huduma na mpenzi wako....

Kwani huko kwenu kuna kipindi maalumu huwa mnakwenda kukaguliwa kuwa mmeondoa sweta au bado lipo ???
Yaani namaanisha kuwa mpo chini ya uangalizi maalumu wa wazee wa ukoo...??
 
Mkuu natamani ningekua wewe, mimi langu liliungua na uji nilipokua mdogo. Nalimiss sana "the late govi langu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…