Kila dem au mani unaekutana nae ni either yuko kwenye mahusiano ama alikuako kwenye mahusiano,so cha msingi ili uweze kupenya kwa watu hao kama unamtaka,lazima ujiongeze ,yaan kama anamtu amwache mtu wake awe nawew ama kama hana mtu,amsahau aliekuaga nae akupende wew,so mahusiano lazma ya take time,mi naona huyo dada yuko sahih,wala hana shida,na sio,kwamba hakupend,ila yuko kwenye transition period.mpe muda akupende,a enjoy kua nawew usiwe na haraka,kubal kwenda kwenye harus,na yote anayokwambia,kama unampenda lakn