Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,403
Mmmh mmh kupeana genye huko
Nilijua haufiki huku bwana. Nikawa navuta points kwanguHa ha ha ha mzee mpka wewe unanichoma?
Ha ha ha ha kwa huyo shemej yakoNilijua haufiki huku bwana. Nikawa navuta points kwangu
Msalimie sister bwana.Ha ha ha ha kwa huyo shemej yako
Na wewe msalimie shemeji wa via via pubMsalimie sister bwana.
nimesikiaNa wewe msalimie shemeji wa via via pub
haa haaa haa inaonekana we huwa unazisotea sanaKwani wewe unatakaje? Kama K kakupa, unataka mini zaidi?
Wala, sijawahi soteshwa siku za karibuni. Wajua, kuna umri fulani ukifika hayo mambo yanakuwa mepesi sana. Sijawahi "tongoza" mwanamke siku za karibuni. Actually, napata kazi kubwa kuwaavoid!haa haaa haa inaonekana we huwa unazisotea sana
Mmmmmmhhhhhhhhh!nimekumisi tu, inabidi tukutane ijumaa pale via via tuongee zaidi
nina mengi ya kukushirikisha