Jf bwana -- baadhi ya watu ni waongo mpaka wana jisahau ....
Mtoa mada juzi tu ' ulianzisha topic na kwenye statement ulidai kwamba haupo kwenye mahusiano na hauhitaji kuwa kwenye mahusiano kwa sasa umeamua kupumzika mpaka baadhi ya mambo yako utakapo kuwa umeyaweka sawa ....
Leo unaleta thread --kumbe una bwana ambaye mmezoeana mpaka mavu.... mnanyoana !!!!!!